Kama wewe ni mwanaume basi tambua unatakiwa kutumia akili yako kwenye suala hili.
Kama wewe ni mwanamke basi tambua unatakiwa kutumia hisia katika suala hili.
Binafsi kizazi cha sasa naona kama haki-enjoy kabisa. Watu wanakaa tu pub wanatandaza beers na pombe kali nyiiiingi, no dancing ni kutikisa vichwa tu na kushikashika warembo.
What a lazy life!?
Kipindi hicho unakula bia mtaani ikifika saa sita mnahamia club huko hata ukitaka kuongea labda...
Viwandani kuna mambo mengi ya ajabu yanaendelea huko. Hata mtu apaze sauti vipi hayafanyiwi uchunguzi maana viongozi wakienda wanapewa chochote kitu wanakaa kimya.
Teh Teh Teh....mwanasikba pekee ambaye hajalaumu referee.
Nakuelewa sana reasoning yako very objective.
Simba ilikuwa mwenyeji wa hii mechi hivyo ilikuwa busara kimbinu kuchagua uwanja ambao wana influence nao kubwa.
Sijui aliwashauri nani kupeleka mechi Kirumba.
Labda kwa kuwa RC Makala yuko...
Ukweli ni kwamba Azam kwa sasa wamejipata. Kipre, Sillah, Msindo wako on fire balaa.
Bajana mzee wa mishuti, Yahaya Zaydi na Feisal wanatakata sana pale kati.
Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.
Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa.
Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.