Search results

  1. K

    Huduma za Akiba Commercial Bank ni shida!

    Wakuu nawasalimia kwa upendo nyote. Naomba Central Bank of Tanzania wajaribu kuitupia jicho LA karibu ACB make imekuwa kero sana kwa wateja kwani Mara kwa Mara unaambiwa hakuna mtandao, Mara hatuna printer, ukienda ATM Zao hapo ndo balaa. Mara Hamna pesa, Mara mtandao, Mara receipt Hanna...
  2. K

    Majambazi wapora Buguruni kwa pikipiki aina ya Boksa!!

    Dakika tatu zilizopita majambazi wamepola hapa BUguruni sheli kwenye bakery ya kuuza mikate na vitafunwa. Wamekuja bila woga na pikipiki lao la Boksa na kuchukua mkwanja tena bila woga na kufyatua risasi juu. Mie niko bar ya jirani hapa junction ilibidi kidogo wateja wa junction tujifiche kwa...
  3. K

    Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

    Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao wakionyesha alama ya vidole viwili kama ishara ya kuonyesha kwamba wao mapenzi yao yako kwa...
  4. K

    Kwanini tusiwataje mafisadi walio tufikisha hali hii?

    Ndg wana Jf! Kutokana na serikali yetu corrupt kuendelea kuwakumbatia na kuwalinda mafisadi papa walio firisi BOT kwa kukwapua mabilion kibao, walioanzisha makampuni feki na baada ya wizi wakayakimbia, mnaonaje wanajanvi tukianzisha mkakati wa kuwataja hadharani humu jamvini wale wote tunao...
  5. K

    Wapi Laurence Marsha?

    Wana Jf naomba mwenye taharifa za wapi alipo na shuguli anazofanya huyo waziri wa zamani wa mambo ya ndani na mwanasheria mahiri na mwanzilishi wa IMMMA Advocate. Kumekuwa na uvumi mwingi juu ya mwanasisa huyo kijana; wengine wanadai kafulia sasa anakampuni ya kuzoa taka, wengine wanadai ni...
Back
Top Bottom