Search results

  1. Daktari wa minyoo

    Nimeachwa na hisia mchanganyiko na huyu mrembo

    Alikua ni binti mrembo sana kwa sura rangi ya maji ya kunde, sura nzuuri tu sikuona dosari yoyote ile. Hata umbile lake pia lilikua ni zuri kweli kuanzia needle, kiuno pale kati, bastola na mabom kama yote vile, nywele low cut, so gharama za kwenda saluni naona kwake sio kizingiti. Nilikua...
  2. Daktari wa minyoo

    Heko heko kivuko chazinduliwa Songea.

    Habarini wanaforum wenzangu. Hatiamae kilio cha muda mrefu cha wakazi wa kata ya Lizaboni mjini Songea kimefikia ukingoni baada ya kamati ya utekelezaji ya UVCCM mkoani Ruvuma kuzindua kivuko hicho cha kisasa kabisa ambacho kimegharimu pesa za kiTanzania 7.8 milioni. Tumeahidi, tunatekeleza...
  3. Daktari wa minyoo

    Sitorudia tena kumwambia mwanamke ntamuoa mapema mapema.

    Habarini wanaforum wenzungu. Kwakweli tabibu nimejikuta napata wakati mgumu sana kushughulika na huyu binti kwani usumbufu ninaoupata ni wa hali ya juu sasa takribani wiki sasa. Ilianza hivii..... Wiki kama mbili zilizopita mbobezi katika tiba za minyoo nilikua nimetulia zangu mitaa flani hv...
  4. Daktari wa minyoo

    Wadada umri kati ya 18-21 muwe basi mnaomba hela moja kwa moja bila kuleta janja janja tafadhali

    Tabibu wa minyoo imenibidi nifunguke kuwachana baadhi ya wadada wa umri nlioutaja hapo juu. Ndio tunajua mna hali ngumu na baadhi yenu ni broke kabisa lakini jitahidini kuomba wapenzi wenu pesa moja kwa moja za matumizi. Na sio kujifanya ni waandaaji wa filamu kwa kutengeneza visa ambavyo...
  5. Daktari wa minyoo

    Wadada wenye umri 18 - 21 baadhi yenu jitahidini kuomba hela moja kwa moja na sio kuleta janja janja.

    Tabibu wa minyoo imenibidi nifunguke kuwachana baadhi ya wadada wa umri nlioutaja hapo juu. Ndio tunajua mna hali ngumu na baadhi yenu ni broke kabisa lakini jitahidini kuomba wapenzi wenu pesa moja kwa moja za matumizi. Na sio kujifanya ni waandaaji wa filamu kwa kutengeneza visa ambavyo...
  6. Daktari wa minyoo

    Utafiti unahitajika kwa aina hii ya binadamu.

    Habarini waheshimiwa. Niende moja kwa moja kwenye mada bila uoga na kupindisha chochote. Kuna hawa baadhi ya watu hasahasa baadhi ya pipo kutoka kanda ya ziwa hasahasa, sijui uwa kinatokea kitu gani haswaaa. Leo ndani ya jiji la miamba [Mwanza] kusafisha macho dizaini, sasa nilikua mitaa ya...
  7. Daktari wa minyoo

    Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

    Kwanza kabisa naomba mnipe pole wanajamvi kabla hata ya kutoa maelezo yoyote yale. Leo mida ya saa 6 mchana hv nlikua nakatiza mitaa flani hapa znz nikiwa natafuna zangu vikaranga tu vichache nilivyotoka navyo home, Eeeh bwana eeeh si nkashangaa ghafla tu nimezungukwa na njemba ka 5 hv...
Back
Top Bottom