Search results

  1. Huyu Mimi

    Jina gani la ajabu umewahi kusave kwenye simu yako

    Habari Wakuu Huu ni uzi maalumu wa kutaja majina ya ajabu uliyowahi kusave kwenye simu yako. Mimi binafsi huwa namsave mtu kutokana na mahali tulipokutana mfano tumekutana kwenye mwendokasi basii namimi jina nitaliweka hilo hilo. Nilishawahi Kusave manzi mmoja Ivi Jina Nikaandika Omba omba...
  2. Huyu Mimi

    Maswali ya kijinga na Majibu ya kipumbavu...

    Habari Wakuu!! Lengo La Uzi Huu Ni kutupia Maswali Ya Kijinga Na Mmoja ana Jibu Kipumbavu Mfano. Mtu Anakukuta Unakula Anakuuliza Ebana Naona Upo Unakula ... unamjibu Hapana Naosha Vyombooo Jamaa Anampigia Simu Mtu Saa7 Usiku Anamuuliza Umelala Nini Jibu Anamwambia hapana Niko Niko naimba...
  3. Huyu Mimi

    FUTILITY/ THE WRECK OF THE TITAN.

    Hii Ni Riwaya Iliyoandikwa Miaka Ya 1898 Na Mwandishi Morgan Robertson Aliyekua Mtoto Wa Nahodha Wa Meli (Captain). Masimulizi Ndani Ya Riwaya Hii Yanahusu Wasafiri Wanaotumia Meli Kama Chombo Cha Usafirii Kutoka Sehemu Moja Kwenda Nyingine. Ndani Ya Riwaya Hii Inamuelezea Jamaa Anaeitwa John...
  4. Huyu Mimi

    Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

    Habari Wakuu Leo Nimeona Nikumbushie Enzi Za popobawa Aliyekua Anadaiwa Ni Kiumbe Wa ajabu Anayewaingilia Watu Kinyume na Maumbile Mbaya Zaidi Usipotangaza Eti Anakurudia Tena Yaani Ukitaka asije Unakaa Macho Unapiga Makelel Na mnalala kwa Makundii. Basi Ipo Hivi Nilisikiaga Redion Wakiongelea...
  5. Huyu Mimi

    MWAGIA HUMO 01.

    MWAGIA HUMOHUMO:Sehemu Ya Kwanza (1) Toka nimezaliwa nimekuwa mwanamke mwenye mkosi kila mpenzi wangu mwanzo wa mapenzi yalikuwa motomoto. Lakini baada ya muda fulani mwanaume alinimwaga bila sababu za msingi. Kila siku ya Mungu nilishindwa kuelewa nina matizo gani mtoto wa kike miye. Kibaya...
  6. Huyu Mimi

    EROTOMANIA: Tatizo la kisaikolojia linalosumbua Wengi

    EROTOMANIA. Hili Ni Tatizo La Kisaikolojia Ambapo Mtu Anakua Na Imani Kwamba Mtu Fulani Ananipenda Mfano Mimi Naamini Kabisa Kwamba Msichana/Mwanamke Fulani Ananipenda Wakati Sio Na Wala Hana Ata Mpango Na Mimi. Hili Tatizo Linatajwa Kuwaathiri Sana Wanawake Kuliko Wanaume Japo Wote Hupatwa...
  7. Huyu Mimi

    Lifahamu tatizo la Misophonia

    MISOPHONIA Hii ni neno la kitaalam likiwa na maana ile hali mtu anakasirika au anakerwa na vitu vidogo mfano mtu kutafuna kwa sautii , kupumua kwa sauti karibu na mtu, sauti ya mtu akisugua au kutafuna meno. Ishawahi kukukuta yaani mtu anapumua halafu wewe unajiisikia vibaya? Ama mtu anatafuna...
Back
Top Bottom