Search results

  1. Z

    Nauza kiwanja Kibaha

    Kiwanja kinauzwa kibaha picha ya ndege upande wa kutoka mjini(sofu)kina ukubwa wa sqmeters 669 yaani 40 x 17 kimepimwa na kina hata miliki na hakidaiwi kodi. Hakuna dalali, kwa mawasiliano 0683328228 karibuni. Bei ni 8M
  2. Z

    Nahitaji Shamba ekari 3 bagamboyo au Kibaha.

    Nahitaji kununua,
  3. Z

    Nahitaji Shamba ekari 3 bagamboyo au Kibaha.

    Naomba kujua na bei kwa ekari moja.karibuni kwa pm
  4. Z

    Nahitaji kufanya biashara ya vitenge

    Huyu ndugu bado hajajua nini cha kufanya halafu sidhani kama yupo serious na hiyo biashara,Ebu kwanza tueleze unamtaji wa sh ngapi,na tupe idea yako kidogo juu ya vitenge
  5. Z

    Nahitaji kufanya biashara ya vitenge

    We uko wapi??na umepanga kuviuza wapi hivyo vitenge,na unamtaji wa kiasi gani?
  6. Z

    Nahitaji kufanya biashara ya vitenge

    Unataka kujua nini?soko,mahali pakuchukua vitenge,bei,aina za vitenge,mtaji au nini?
  7. Z

    Shamba Linauzwa lipo msata

    Lipo Shamba kiwangwa bagamoyo ekari moja 1M.Njoo pm Hamna udalali
  8. Z

    Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Naomba msaada niangalizie mdogo wangu DORAH THEODORY kamaliza 2009
  9. Z

    Natafuta mume

    Asante kaka,Mungu akubariki sana
  10. Z

    Natafuta mume

    Ameen
  11. Z

    Natafuta mume

    Ameen.
  12. Z

    Natafuta mume

    Amina kaka.
  13. Z

    Natafuta mume

    Habari, Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara. Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi. Karibu pm kwa maelezo zaidi.
  14. Z

    Natafuta rafiki wa kweli

Back
Top Bottom