Search results

  1. mmewadadako

    Plot4Sale Kiwanja square meter 4800 chenye hati Kiluvya barabarani kinauzwa

    -Kiwanja kipo Kiluvya Gogoni mbele ya Kibamba -Kiwanja kinatazama Morogoro road -Kina ukubwa wa square meter 4800s -Kina hatimiliki -Kinafaa kwa matumizi ya sheli,godown au kiwanda bei : mil 280 (maongezi yapo ) mawasiliano: 0765494548 NB: Kama tunavyojua stand imehamia mbezi mwisho hivyo...
  2. mmewadadako

    Plot4Sale Kiwanja chenye hati kwa matumizi ya sheli kinauzwa Goba

    -Eneo lipo Goba karibu na njia nne,limeface barabara ya lami -Ukubwa wa eneo ni square meter 2961 - Eneo lina hati kwa matumizi ya sheli Bei: maelewano na mmiliki mawasiliano: 0765494548
  3. mmewadadako

    House4Sale Fremu 12 na vyumba 11 vinauzwa mil 150 Kinyerezi Kifuru

    -Fremu zipo katika mfumo wa ghorofa chini na juu,ziko 12 zinaface barabara na baadhi zina watu tayari (kupangisha fremu moja ni 70 kwa mwezi) -Nyuma ya fremu kuna vyumba vya kupangisha chumba na sebule partition 5 na kimoja master kinajitegemea ( bei ya kupangisha chumba na sebule ni elfu...
  4. mmewadadako

    House4Sale Nyumba ya vyumba 5 inauzwa Kinyerezi

    -Nyumba ipo Kinyerezi mwisho 1.5 km kutoka barabara ya lami -Ina vyumba vitano,viwili master,sebule,dinning,public toilet,jiko na stoo -Ukubwa wa kiwanja ni sqm 700 ( 35 kwa 20) -Pamepimwa lakini hakuna hati -Haina ukuta bei: mil 85 ( maongezi yapo) Mawasiliano : 0765494548/0755079111
  5. mmewadadako

    House4Sale Nyumba yenye hati inauzwa Kimara Matosa kwa bei ya maelewano

    -Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima -Nyumba ina vyumba 3 kimoja master,sebule,dinning,jiko na public water closet(toilet). -Ina fense, perving blocks na...
  6. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja vyenye hati kinauzwa mbezi mwisho

    -Eneo linapatikana mbezi mwisho stand karibu na soko la mbezi -Eneo ni kubwa limekatwa viwanja vidogo vidogo 5 vyenye sqm 400 ( 20 kwa 20) na vyote vina hati -eneo haliko bondeni liko sehemu nzuri -barabara ni nzuri ya kufika kwenye eneo -huduma muhimu ziko karibu bei kwa kila plots ni...
  7. mmewadadako

    Plot4Sale kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi

    -Kiwanja ni kikubwa sana kikiwa na ukubwa square meter 1350 (45 kwa 30) -Kipo Mbezi Msumi njia panda ya kavimbirwa -Kinaface barabara kubwa ya mtaa -Kiko tambarare bei; mil 16 ( mazungumzo yapo kidogo) Mawasiliano : 0765494548 NB: STENDI IMEHAMIA MBEZI HIVYO VIWANJA MBEZI VINATEGEMEA...
  8. mmewadadako

    Mambo ya kutafakari unapoanzisha uhusiano wa kimapenzi kazini

    Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka karibu zaidi na wafanyakazi wenzako kuliko hata familia na marafiki. Mazingira haya ya ukaribu wa...
  9. mmewadadako

    House4Sale Nyumba zinauzwa Kinyerezi

    -ina vyumba 3 kimoja master ,sebule,dinning hall,jiko,stoo na public toilet -Kiwanja kina ukubwa wa 30 kwa 25 (750sqm) -pamepimwa lakini hapana hati - Umeme na maji vyote vipo. -Ukuta kuzunguka nyumba Bei:mil 70 mawasiliano :0692 582 135 : 0738783625 wasap NB :PIA KUNA NYUMBA NYINGINE...
  10. mmewadadako

    Plot4Sale Jipatie kiwanja Kimara Temboni chap chap

    -Kiwanja kipo Kimara Temboni kwa Abas umbali wa km 2 kutoka Morogoro road -Kina ukubwa wa sqm 700 -Barabara zinapitika vizuri -Huduma za maji na umeme zipo -Mazingira jirani(neighborhood) ni rafiki na ya kuvutia BEI; mil 17 MAWASILIANO: 0765 494 548 NOTE: Muhusika ana shida ya haraka...
  11. mmewadadako

    Natafuta kiwanja cha kununua Kimara chap chap

    Specification -Kiwe sehemu tambarare -Kisiwe mbali sana na barabara (Morogoro road) 800 to 1km -Kuanzia sqm 500 -Pawe panafikika kirahisi Kama unacho nichek: 0765 494548 chap chap tufanye biashara
  12. mmewadadako

    House4Sale nyumba inauzwa tabata magengeni

    -Ina vyumba vinne kimoja master -Sebule -Dinning hall -Jiko -Stoo -Choo cha jumuia -Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700 mengineyo -ina fremu 4 za kupangisha zinazotumika -ina nyumba ya pembeni ya kupangisha yenye vyumba 2 na sebule ..chumba kimoja master -perving blocks -ukuta kuzunguka nyumba...
  13. mmewadadako

    House4Sale Nyumba inauzwa kinyerezi mwisho

    -Inakopatikana : Kinyerez mwisho -Ukubwa wa kiwanja : sqm 700 -Idadi ya vyumba : 3 kimoja master sebule,dinning hall,jiko,choo na bafu la jumuia. -Nyumba ina finishing ya urembo na rangi ,vioo vya alluminium,gypsum, tiles ,perving blocks nje pamoja na ukuta kuzunguka nyumba. BEI: mil 65 (...
  14. mmewadadako

    House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Kimanga

    -Nyumba inapatikana Tabata Kimanga -Vyumba vitatu kimoja ni master -Sebule -Mahala pa kulia( dinning hall) -Choo na bafu la jumuia -Sakafu ya vigae -Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm -Kiwanja kina ofa na kimepimwa -Fensi ya ukuta -Perving kuzunguka nyumba BEI: 55 million(negotiable) Mawasiliano...
Back
Top Bottom