Search results

  1. wankuru nyankuru

    Tanform-Arusha tunaomba mtutengenezee barabara mliyo ijaza udongo kutokana na ujenzi wa ukuta wenu Moshono Losirwai

    Tanfoam Iko Moshono? Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  2. wankuru nyankuru

    Paul Makonda kuongoza Mapokezi mazito ya Rais Samia siku ya Mei Mosi mkoani Arusha yatakakofanyika kitaifa

    Maneno meengiiii hakuna Cha maana ndani yake Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  3. wankuru nyankuru

    Dodoma ni kutamu jamani

    Pale rain bow Kuna pis Kali Huwa zinaingia kutegesha wanaume Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  4. wankuru nyankuru

    Hivi CCM inashindana na chama gani kama upinzani upo haupo vile

    Sioni kama ni vyema CCM kuendelea kutumia nguvu nyingi kujitamba na kujigamba majukwaani kwani Hadi Sasa sioni chama Cha kushindana na CCM. Upinzani wenyewe ni kama upo haupo, chadema nao ni kama wapo hawapo, ict wanaojiita wazalendo nao ni kama hawapo vile. Kwa kurahisisha ni kwamba upinzani...
  5. wankuru nyankuru

    Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Tunashukuru serikali ya awamu ya SITA Kwa kufanya maandalizi mazuri ya kupokea tukio hili muhimu duniani
  6. wankuru nyankuru

    Muda mwafaka wa waheshimiwa kujipitisha pitisha ili kujionesha kwa wananchi

    Sasa ndio muda mwafaka Kwa waheshimiwa kujionesha mbele ya jamii kuwa wako karibu na wananchi hasa tunapoelekea kwenye kipindi Cha uchaguzi. Baadhi ya matukio yanayoweza kuambatana na kujipitisha ni pamoja na: 1. Kutoa misaada Kwa makundi maalum 2. Kuhudhuria matukio ya kiserikali. 3...
  7. wankuru nyankuru

    Tetesi: Mongella kupewa ubunge wa kuteuliwa Kisha kwenda kugombea ubunge Jiji la Arusha

    Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji. Lakini utabiri unaonesha kwamba...
  8. wankuru nyankuru

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Mhe. John V.k. Mongella,soon atateuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kuchukua nafasi ya dkt Nchimbi ambaye Hadi Sasa kapoteza mwelekeo
  9. wankuru nyankuru

    Mongella kuwa katibu mkuu CCM taifa na Makalla kuwa mwenezi wa CCM taifa

    Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla. Takwimu zinaonesha hao ndio Kwa...
  10. wankuru nyankuru

    Mama anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya uenezi wa CCM?

    Namuona John Mongella anaenda kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Amos makalla kuchukua nafasi ya makonda au the reverse Yake is true
  11. wankuru nyankuru

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    John Mongella kuwa katibu mwenezi, gambo Hana lake tena Arusha jiji
  12. wankuru nyankuru

    Rais Samia mteue Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya...
  13. wankuru nyankuru

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Chukua mkate wako na soda stendi, fika kwenye kupaki kakojoe Rudi kula mkate wako.
  14. wankuru nyankuru

    Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    Kikubwa ninachosema ni kuwa tuache dharau dhidi ya wengine hata kama una uwezo wa kifeddha.
  15. wankuru nyankuru

    Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    Mrejesho: Aliyegonga gari langu kapatikana akiwa anasumbuliwa na kuumwa Kwa kichwa tangu siku Ile Hadi Leo. Ndipo nyumbani kwao wakamwambia Rudi ulipokuwa mtafute uliyemgongea gari uombe radhi na Kisha umpe Hela ya kurekebisha coz hukufanya busara Kwa kujidai unakimbia. Basi baada ya kuomba...
  16. wankuru nyankuru

    Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    Asante, Nimempta huyo Sharma, ngoja nitengeneze ila aliyegonga bila kujitokeza huko akiwa anaendesha mguuni akiwa anapiga mafuta atajisikilizia .
Back
Top Bottom