Search results

  1. Victor Chilambo

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Log out kisha log in upya au badili browser
  2. Victor Chilambo

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Pale post atfer form four tunajaza nn ikiwa mtu ame soma advanc then akaenda diploma matokeo ya advanc hayakua sawa so ni diploma au form six
  3. Victor Chilambo

    Application za mkopo HESLB

    Kwenye education info kama mtu katokea form 4 then 6 then baada ya kuto paform ipasavyo form six akaenda diploma so now pale post after form four inatakiwa nijaze dipoma au advanced
  4. Victor Chilambo

    Application za mkopo HESLB

    Guarantor nikiweka pdf file inasema invalid format vip nakosea nn mkuu
  5. Victor Chilambo

    Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Nimekwama kwenye ku attach file ya pdf kwa mdhamini id card inaandika invalid file format nishindwa nifanyaje msaada
  6. Victor Chilambo

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Kwan Ma IT wa Helsb ni CCM
  7. Victor Chilambo

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Kwa mwenye kujua namna ya utatuzi katika mfumo huu mpya wa bodi ya mikopo Helsb yaan kila niki attach file kwenye Guarantor id card in pdf form ina leta mrejesho wa Invalid file type naombeni msaada
  8. Victor Chilambo

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Ukubwa wa picha unatakiwa uwe mb moja au isizidi mb1
  9. Victor Chilambo

    Application za mkopo HESLB

    Mtu akiwa hana namba ya nida anaweza kukamilisha process za mkopo au mpaka apate nida kwanza?
  10. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yani ilo swala la dean adi mimi linaniumiza kichwa yan tumemtoa kwa mkopo alafu now tunaangaika kubembeleza watu watupe kipa japo kwa mkopo
  11. Victor Chilambo

    Mchezaji wa Manchester United anashikiliwa na polisi kwa kudaiwa kubaka na kumpiga girlfriend wake

    Je Greenwood kesi yake ina dalili ya kuisha au ndo milele no mpira?
  12. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni rahisi fans wa man utd kumchukia de jong kwa kuringa kwa mda mrefu kutokana na sababu zake binafsi ikiwemo (mapenz kwa barca hivyo kuendelea kupambania namba,matamanio ya kucheza uefa,kudai Deni analo idai barcelona na ubovu wa man kwa kipind cha karibuni) Lakin de jong n mchezaji mzuri...
  13. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bado manchester haijawa sawa maana livakuku haiko fom na ina mapungufu sehemu ya katikati ambako keita au tiago wange fit in majeruh pia kuto kuwepo kwa konate au matip kuli week defensive isitoshe tume shinda lakin mechi kwa ujumla tumezidiwa kiasi kikubwa kasoro magori sisi tulicheza kwa...
  14. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tusichekane bwana raha ya uefa n kubeba kombe apo mmoja tu ndo atachukua kombe mwisho wa siku wengine watabaki kua wasindikizaji anae cheza europa akibeba anakua na thamani kuliko msindikizaji
  15. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Gakpo ni wa kawaida kweli anafanana na elanga pia ni winga wa kushoto sema kwasababu miaka ya n 23 hivyo anaendelea kukua
  16. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ability ya de jong katika ukabaji ni kubwa kuliko fred na ndio maana fred huwez kumchezesha CB pia D jong ukiwa nae atakuoffer vitu vingi kutokana na uwezo wake wa passing skills kubwa kuliko hao diffensive unao wazungumzia pia ten hag haitampa shida ku copy mfumo maana ni mtu ambae alishawai...
  17. Victor Chilambo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    De jong sio kama unavyo mchukulia yeye sawa ni Cm lakini anauwezo mkubwa wa kukaba ndio maana xavi aliwai kumtumia kama center back na pia aliwai kucheza kama centrel back mechi 13 akiwa ajax ambazo 10 walishina na 13 kutoa droo pia anauwezo wa kucheza midle zote ikiwemo CDM
Back
Top Bottom