Search results

  1. S

    Habari Njema Wasomi!!!

    kweli prof wewe wa ukweli!!!!!!
  2. S

    Je, Urembo, Usharobaro wa kizembe na kuzurura mitaani vitaisha?

    kwa mtu yeyote mwenye mtizamo chanya na hili taifa, hlii wsala ni zuri sana kwani kwa sasa taifa linakosa wale vijana wa Mwalimu. Hivyo tuombe sana serikali yetu irudishe hicho kitengo cha kupitia jeshini ili 2siwe na wasomi abrubakacha ambao hawapo tayari kuwajibika maeneo yeyote ya taifa lao...
  3. S

    Toa mawazo yako kuhusu hili

    duuhhhh!!!! haya akina dada jimwageni tuone umahiri wenu.
  4. S

    DC wa Igunga atabiri ushindi kwa CCM -- hii imekaaje?

    Mimi nahisi huyo DC amekuwa kama mtabiri TAMBITAMBI, na ana haki za kushabikia chama kilichompa ulaji, ila ajabu ni kwamba hajui hata tofautikati ya KITAMBI NA MIMBA
  5. S

    Naomba ushauri great thinkers

    Kwanza wewe utafanya/ unafanya kazi wizara gani? na umepangwa wilaya gani? kuwa muwazi vizuri ili tukupe michakato ya utanzania!!! Hilo swala lako kwa nchi kama ya kwetu huwa haliwezi kuwasumbua greater thinkers
  6. S

    Hivi kwa nini serikali inajenga shule za kata bila nyumba za walimu?

    Sio kwamba serikali haijali waalim, bali mchawi wa mwalimu ndani ya hili taifa letu ni mwalimu mwenyewe, Nitatoa kielelezo cha kuwepo kwa Maafisa elimu Sekondari ndani ya kila halimashauri ya Wilaya hawa jamaa ndio wame kuwa wachawi wa kwanza wa Elimu kwani wamekuwa kama miungu watu. NA SWALA...
  7. S

    Elimu ya Bongo na ya Nje Ipi Bora?

    Sio kweli kwamba chuo kikuu bora kwa Tanzania ni UDSM, Kwani ubora wa chuo huwa unategemea zao linalotolewa na hiyo RANK uliyoitoa ulifocus kwenye nini? je ubora wa elimu? umri wa chuo? mazingira ya chuo? au umetumia vigezo gani? msipende kusikiliza mawzo ya wanasiasa kwenye swala la elimu hapa...
  8. S

    Hivi ni sahihi kwa wakati mmoja kusoma na kufanya kazi?

    Mimi naona ni sahihi kabisa kufanya hivyo endapo mtu kama huyo ana uelewa mkubwa, seama sisi watanzania tumekuwa wavivu sana kufanya kazi ndio maana Waziri mkuu akitushauri 2chape kazi 2ache malumbano, Hivyo basi kama mtu ana mda wakutosha kusoma na kufanya maana haina maana yeyeote ile kwa...
  9. S

    HESLB (BODI) na EQUIVALENT

    kiukweli mimi kwa uelewa wangu mdogo, nadhani uongozi wa bodi ya mikopo huwa autambui nini maana ya mikopo ndio maana wanawasumbua walipa kodi wenzangu
  10. S

    January Makamba ajibu hoja hii ya Raia Mwema....

    Mbwambo, J. ni mwandishi i makini na mahiri sana na asiyekuwa na tabia za kuandika habari za ushabiki na makala haikumsema vibaya Makamba,J. Iila alimtumia kama kielelezo dhahiri kwa baadhi ya vingozi wa Africa wanavyofanya mambo yao na sio huyo tu bali wapo wengi sana hapa Nchini. Hivyo kwa...
  11. S

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    ondoa shaka mkuu, kwani wapiga kura ndio last say hata kama ITV watamwosha akiwa na watu wawili, na zote hizo nik fitina za kisiasa
  12. S

    Kumbe elimu sio lazima.

    Swala lako la kujiari mwenyewe ni zuri zaiadi, ila kumbuka ya kwamba kwenye hii Dunia zipo nchi zilizoendelea na zinazoendelea, kwa hiyo huwezi kumshauri mtu wa nchi ziznazondelea eti atafute mtaji afanye biashara utakuwa hujamtendea haki kwanza kumbuka ya kwamba huyu mtu ametoka kwenye hizi...
  13. S

    Udaktari wa Mifugo Tanzania

    kwa dunia tuliokuwa nayo kwa sas hata mimi nakushauri uende ukasome hiyo kozi hapo SUA, But kwa kifupi masomo yake yanahitaji effort kubwa sana kutokana na Anatomy, Phsiology na Parasitology.Kwa upande wa maisha yako ya baaadae ni nzuri zaidi kwani unaweza kujiajiri popote pale ulipo no matter...
  14. S

    Mwanaume baridi kwenye ndoa

    hilo ni swala lka kawaida sana, na ujanja wa mwanaume ni yule mwenye Testorene hormones za kutosha na endapo zikiisha ujanja hauapo tena
  15. S

    Aina 7 za machozi katika ndoa

    kwa hiyo akilia huwa ni tba ya aina gani? ingekuwa ni vizuri azidi kama ungeandika hizo aina 4 zingine kawni kwenye title yako umeandika aina saba, ila hapa umeweka hizo tatu!!
  16. S

    Chama cha waalim Tanzania {CWT} igeni wenzenu wa chama cha waalimu Kenya.

    Hongereni sana chama cha waalimu Kenya kwa kupata suluhu ya matatizo yaliyokuwa yanawakabili, na poleni saaana CWT kwa kupigwa danadana na viongozi mliosimamia uchaguzi wao na kuwapa ulaji. Ndugu zanguni waalimu naowaombeni sana muweze kutumia mfano wa wenzetu wakenya kwenye kudai haki zenu...
  17. S

    Tamisemi yadanganya walimu

    wana haki zoooooooote za kudanganywa kwani msimamo wao ni mdogo sana, na hawana uwezo wa kutikisa serikali
  18. S

    Basi la Raha Leo lilivyosheheni abiria mpaka mlangoni!!

    jamani tusipende sana kuwalaumu wamiliki wa magari kwani wao wanafanya biashara ila tatizo ni kwa abiria wenyewe kwani hata wakiambiwa gari imejaa bado wanagombea kuingia ili wasimame, Jambo la msingi serikali yetu ichukue hatua kali za kinidhamu kwa abiria aliyesimama pamoja na mmiliki wa gari...
  19. S

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Kiukwaeli hali ya Igunga bado ni tete na bado ipo kwenye mabano, but natoa ushauri kwa vyama vya upinzani kuwa wawe makini saaaaana na zile kura za MOTO, zilizoiangusha iliyokuwa ikijulikana kama ngome ya CUF hapo TEMEKE miaka ya hivi karibunI iiliyopita na kutaka kumfanya mwenyekiti wao kwenda...
  20. S

    Kumekucha: "Msiba wa Taifa" Toleo la 4..

    Hongera Mwanakijiji kwa ufanisi wako, ila hili taiafa linatuumiza sana sisi choka mbaya na tusubiri tume bubu itakayoundwa kwani hii nchi ishakuwa ya tume na kufanya .........., nashindwa hata kumalizia
Back
Top Bottom