Habari wa kuu...
kumekuwa na katabia ka watu kupostiana watsapp status, hivyo kupelekea watu kurequest sana mara naomba namba ya huyu dem mara namba ya huyu bro na hata wakati mwingine bila salam.
Rai:Tusalimiane kabla ya kuomba namba.
Habari wakuu...
Hivi hivi vifurushi ni ktk menu yangu tu au hata kwa wengine, maana huu sio msaada sasa kwa wanachuo inamana kwa wiki kifurushi cha chuo ni 3000/=?
kiukweli nitashindwa kula ugali hapa mabibo hostel.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.