Search results

  1. Birionea Bee

    Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Nyinyi mnaumiza sanaaa unajua mwanaume unaweza ukawa nammoja lakin mwanamke mh
  2. Birionea Bee

    Hivi kumbe mapenzi ndo yanauma hivi!

    Kwaupande wangu staki ata kuludia maumivu yake
  3. Birionea Bee

    Nifanyeje nizoeane na majirani?

    Kiwa mtu mwenye kujumuika kwenye shuguli shuli zakijamii za mtaaa
  4. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Amekukumbuka sana ila hatakutafuta tena. Kwa muda mrefu sasa amejitahidi mno kuonesha mapenzi kwako ili kukufurahisha. Kwa muda mrefu sana amekuwa akitenga muda wake kukumbuka na kukujali. . Kwa muda mrefu sana amejitahidi kukuonesha kwamba anakufaa lakini alichoambulia ni maumivu. Hatimae moyo...
  5. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Asanteni dau wote mbalikiwe kwa maon nibadirishe nn zaid Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Asanten kwa ushauli wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Of course, Muonekano na namna anavyojiweka kwa mwanamke ni jambo la muhimu mno, lakini jambo linalovutia zaidi sio muonekano pekee. . Bali, ni ule utambuzi wa kujua kwamba mwanamke huyo sio mtu wa kujirahisisha kiasi ya kwamba mtu yeyote anaweza kuwa nae. . Sio mwanamke ambaye yuko desparate na...
  8. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Yap Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza....... 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iweje....anapenda sms...
  10. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Xanaaa sio kitoto Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hii mboga nime hielewa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Wazeee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Birionea Bee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hili neno "Nakupenda sana" ama kwa kimombo "I love you" lishapoteza maana siku hizi. Watu wanaweza kukwambia wanakupenda ila nyuma ya pazia wanakusaliti ile mbaya. . Wanaweza kukwambia maneno matamu yenye kuupa burudani moyo kama vile, "Nakuhitaji sana", "Wewe ndio kila kitu kwangu" na mengineyo...
  15. Birionea Bee

    Kwanini heshima imeshuka Kwa wadada

    Hahahah Okay we thought GOD AM NUTHINFJamii Forums mobile app
  16. Birionea Bee

    Kwanini heshima imeshuka Kwa wadada

    DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..! [emoji117] Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. [emoji117] Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. [emoji117] Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume. [emoji117] Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie...
  17. Birionea Bee

    Hivi kwanini tusiabudu (kutambika)Mungu na Mizimu yetu?

    Mambo humzima we thought GOD AM NUTHINFJamii Forums mobile app
  18. Birionea Bee

    Why love [emoji219]

    Muda mwingine unatazama nyuma, unaangalia mtu ambae ulikuwa nae katika mahusiano. Unatazama namna mtu huyo alivyokosa muelekeo. Unatazama Jinsi asivyo na maono, malengo, heshima kwa Mungu na kujiheshimu yeye binafsi. Kisha, unatazama nguvu (force), uhodari (versatility) na Ukubwa (magnitude)...
Back
Top Bottom