Search results

  1. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Naona unataka kujikaanga mwenyewe hapa, Vizuri.
  2. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hiki ndicho ulichobakiza, Ajabu umepewa majibu mengi sana humu, Ungekua mtu ambae ni mwepesi wa kupambanua mambo nadhani mpaka sasa ungekua umeshafahamu Dunia ni Tufe.
  3. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    📌📌📌
  4. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kwa mawazo na akili hizi, HAKUNA mtu wa flat Earth atakayeweza kuja kuleta mapinduzi kwenye maswala yanayohusu anga milele.
  5. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mkuu hayo maelezo ya mwishoni ulitumia kifaa gani gani kufahamu hayo ? Umetumia macho na akili yako kama anavyojinadi mara zote ama umegoogle ?
  6. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Tukileta picha au video unazikataa unasema sio uhalisia, Mbona kigeu geu wewe bro.
  7. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Tukileta picha sisi za kuelezea mambo mbali mbali, Unadai picha sio uhalisia Lakini wewe unatutumia picha kama hii,, Tukisema una matatizo inabidi utuelewe
  8. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Wewe unahitaji ushahidi wa namna gani ? Namaanisha kama ni kuzunguka kwa Dunia unataka ushahidi uwe kwa mtindo upi ?
  9. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Wewe endelea kukariri, Maana ndio jambo pekee unaloliweza
  10. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Wewe hutaki kujifunza ? Au umeshahitimisha kuwa tayari unajua kila kitu.
  11. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Unachekesha sana wewe jamaa, Wewe leta uthibitisho
  12. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Umeleta uthibitisho gani wewe mpaka muda huu ?
  13. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Changamoto sana huyu jamaa,
  14. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Leta uthibitisho wako kuwa Dunia sio tufe na haizunguki
  15. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hivi we jamaa unajielewa kweli ? unazungumzia video ipi ? Hiii nliyoituma mwishoni ?
  16. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Huyu mwamba sio ujinga tu, nna wasi wasi na afya yake ya akili
  17. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ati nipo addicted na picha&video Ndugu ulitaka niwe addicted na maneno matupu ? Sio wewe ambae huwa unaomba video au picha inayoonyesha curve ? Au sio wewe Picha au video isingekua muhimu, usingekua unahitaji picha za hivyo vitu unavyoviomba. Na je ina maana umeshindwa kutambua nmekutumia...
  18. Chosen Rich

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Nmekutana na hii clip ya ndege shirika la Emirates, Vipi unaona picha/ramani ya Dunia yenye umbo gani hapo ?
Back
Top Bottom