Search results

  1. Abel kaholwe

    Je, Kuna Umuhimu wa Kuandika Mchangamanuo/Mpango wa Biashara?

    Yes, 1.description of the business 2.budgeting 3.SWOT ANALYSIS,(STRENGTH,WEAKNESSES,OPPORTUNITIES,,THREAT) 4.finances seeking Hivi hapo juu NI baadhi ya vitu muhimu kibiashara ambavyo utavikuta katika michanganuo ya biashara. Maelezo juu ya biahshara husika hutoa taswira ya biashara...
  2. Abel kaholwe

    Ibara ya 105,rasimu ya katiba.

    (1) kutakuwa na bunge la jamhuri ya muungano, (2)wajumbe WA bunge watakuwa WA aina zifuatazo: a)wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi b)wabunge watano watakaoteuliwa na raisi kutoka miongoni kwa watu wenye sifa ZA kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwiano...
  3. Abel kaholwe

    Katiba ikiniruhusu kugombea ubunge nitagombea Next election.!

    Nimekuwa na dhamira ya kugombea ubunge tangu nikiwa kidato cha tano,NI takribani miaka Saba(7), Nilibweteka na kufikiri kuwa ninaweza jiandaa na maisha,LA HA SHA,maisha NI haya tunayoishi,tunahitaji jamii yenye viongozi wenye Kulinda katiba na kuitumia katiba kwa ustawi WA jamii wanayoiongoza...
  4. Abel kaholwe

    bei ya karanga Dar es salaam

    Anayejua bei ya karanga Dar anijuze,pia napokea order za kusupply mazao mbalimbali ya chakula,popote,kwa bei tutakayokubaliana,check me on 0769215660,or 0657884513 PAMOJA TUJENGE UCHUMI WETU..
  5. Abel kaholwe

    Masele adai CHADEMA wamepanga kufanya mauaji

    _aliyepost hana uhakika na anachokiandika,ndiyo maana katanguliza kujihami kwa kusema kuwa aliwaambia wanahabari wasichukue tukio,NI lini wanahabari walizuiliwa kuchukua habari? Kimsingi nakanusha kauli za mwandishi huyo na nasisitiza kuwa mheshimiwa Stephen Masele baada ya hotuba ndefu...
  6. Abel kaholwe

    Is Nape Nnauye famous or potential politician?

    Lets talk about NAPE NNAUYE as a celebrity in politics industry,is he just a famous person due to his position and responsibilities or he is a potential polititian deserving more tha what he receive as a honor of his respect for what he contribute to the society?if we judge this man in a very...
Back
Top Bottom