Search results

  1. M

    Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    Muda wa kwenda kusoma Albadir ndo unasogea hivyo!
  2. M

    DCI: Tumemchoka Mange

    Mange hajawahi kukuacha salamaaaa maana tunawajua nyinyi ni wazee wa kujistukia tu hahahaha viva mange
  3. M

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Yan mimi naona hawa jamaa wapo sawa kabisa!sababu sioni umaana wa kuwa na mtu ambaye sio msagaji na ni msomi halafu anakuwa mwizi kama akina chege na akina bashite. bora msagaji tuuuuuuu:(:(:(:(:(:(:(:(:(
  4. M

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Pili pili pia inasaidia sana kupunguza harufu kwenye Ndetto N
  5. M

    Namshangaa Humphrey Polepole na 'comments' zake

    haki ya Mungu kwa kweli tnahitaji maombi sana kwa aina ya maisha na viongozi tulonao Nchini kwetu,Yan haka ka jamaa hakaeleweki wala hakatabiriki wapi kapo Humphrey Polepole
  6. M

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    upo sahihi mkuu ila watanzania kuwaelewesha huwa ni kazi ngumu sana watu wanajitahidi huku na kule kuhakikisha wanaelewa lakini cha kushangaza uchaguzi ukifika madudu yanajirudia yan hata kama ni kurogwa basi sisi tumeshamalizwa jaman ccm sio watu kamwe
  7. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    90% si ni ccm na ni majambazi wenzake? Nani atahoji suala la safari
  8. M

    Hellen Makanza wa Stanbic katika sakata la Tegeta Escrow Account

    . Kwa hela hii Branch manager wala mtu yoyote wa chini hawezi jaribu kufanya TRANSFER HII KAMWE!Labda NMB lakin kwa mabenki haya ya kigeni lazima itoke authority ya CREDIT HEAD AMA VINGINEVYO.HAPA WATU WAKUBWA WANAJUA VIZUR SANA BM,yeye atakutana na karatasi ama e-mail na ku-reply tu si zaid ya...
  9. M

    Tegeta Escrow Account Scandal: Kumbe Masele alishawahi kufanya kazi STANBIC

    Hata mimi nashangaa sana kwa elimu na uelewa alokuwa nao mheshimiwa masele ni AIBU AIBU AIBU KUBWA SANA KWA RAIS wetu kupa mtu huyu kitengo nyeti kama hiki jamani,Certificate mpaka degree UDSM? siwezi kukubali ama kukataa wana jamvi ila masele ni mwizi mzuri mwenye shule ndogo na ya kuunga unga...
  10. M

    Rais Kikwete amteua Profesa Asad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Tatizo la mheshimiwa huyu huwa akisikia neno Proffesor anachachawa sana na kuamini hawezi kufanya madudu ila hapa hamna kitu ni sanaa tupu na uteuzi huu unanipa mashaka sana icje ikawa mzee wa watu wamemstaafisha kwa nguvu ajili ya kufichua maovu yao ya kipuuz! Awamu ya rais wetu huyu imeonekana...
  11. M

    Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

    Wewe kama ungelikuwa jiwe kuu la msingi ulikuwa wapi kusema wakati ufisadi wote huu unafanyika kama wewe sio mjinga na mpumbavu?acha kutuchanganya wanachi wa mwanza hawapo hivyo na kama uliona wakati huo nini kilifanya unyamaze bila kulitolea na kulipazia sauti kama sasa?wewe ni mjinga tu hoja...
  12. M

    Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Anthony diallo ni mpumbavu kabisa kama ccm wenzake wengine walio na elmu za ujanja ujanja kama akina mwigullu mchemba na diallo mweyewe!Ninachokijua na kukiamini kabsa ni kwamba watashidwa tu na upuuzi wao wote wanaoufanya!kwa nini ukweli hawautaki?????????????????
  13. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Huyu hana lolote ni mwizi na fisadi tu asitake kudanganya umma eti utajiri wake yeye ni hiyo mifugo yake!jaman utauza Ngombe wngapi ununue VX V8 tano?na utauza mifugo mingapi ujenge walau ALPHA kama za kinondoni ngapi kama sio uongo?LOWASA wewe nae ni mwizi tu na huna kipya cha kutueleza
  14. M

    Bunge limuadhibu Naibu Waziri Massele

    Masele kwa sisi tunaomjua ni zuzu tu hana hoja yule na pale alipo katumwa tu. masele jaman sio riziki
  15. M

    Tundu A. M. Lissu hapuuziki

    Lissu hahitaji kuheshimiwa na wewe intarahamwe ukiwa na wenzio Msomali kinana eti nae mzalendo.Ndgu yenu mwingine Nape na naibu waziri wa fedha Mchemba sijui hata Rais aliwatoa wapi nyinyi ni mashetani ila mwisho wenu umefika!
  16. M

    Tundu A. M. Lissu hapuuziki

    Upumbavu wa ccm na wapuuzi wake kama akina mchemba,kinana msomali na huyu asiye na elimu katibu mwenezi wao Nappe mwisho wenu unafika -------!
  17. M

    Godbless Lema: Waziri Sospeter Muhongo Hajawahi kufanya hata biashara ya Mapera

    Tena muhongo ni kilaza kabisa sijawahi ona mazee!Hata speech zake zote za kuonge kingereza no hovyo tu sijui hata alisoma chuo gan wakampakitu hii!
  18. M

    Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za kiarabu (UAE) washerehekea sherehe za miaka 50 Muungano

    Hapo hata kukaa mlivyozoea wabongo hakuna!mumeona watoto mpka miaka 50 ya muungano madawati utata,akina mama wanalala hini na vitoto vyao sasa hawa mabalozi wetu wakiwa huko huwa wanijivunia nini hasa?na muungano huu wa miaka 50,51,52 unatupa changamoto zipi kwa sasa?ukiangalia picha hizi kwa...
Back
Top Bottom