Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

Wawakilishi tulionao ndio kama yule aliesema kina mama humu mjengoni mtuthibitishie Je ni kweli wanaume waliotahiriwa ni watamu zaidi ya magovinda.
Halafu utegemee maendeleo,tutasubiri sana mpaka tupate akili nzuri.
 
Kuna siku nilisikia mheshimiwa Tundu Lissu akisema he has been told that people up there are no longer thinking rational, sasa sijui alikuwa anamaanisha nini ukiunganisha na hilo la mheshimiwa spika....
 
Kwa wale ambao mlikuwa hamjawahi kusikia busara ya mheshimiwa, "Hizo ndizo busara za juu kabisa za mheshimiwa na nasaha kwa wabunge" hazipatikani popote na kwa yeyote! Tuendelee kuiombea nchi yetu na bunge letu.
 
Yani huyu spika buana kukosolewa kidogo tu kahamaki huyo hana hata busara za uongozi.
 
Huyo "Bulai" simshangai, alimpiga mgombea mwenzake wa kiti cha ubunge, Dr Chilogani mpaka akazirai na kulazwwa hospitali ya Kongwa kwa siku kadhaa akiwa hajitambui!

Nawaahangaa wabunge was COM (ambao ndiyo wengi bungeni) kwa kutoliona hilo na kumpa Uspika wa Bunge!
 
Huyo "Bulai" simshangai, alimpiga mgombea mwenzake wa kiti cha ubunge, Dr Chilogani mpaka akazirai na kulazwwa hospitali ya Kongwa kwa siku kadhaa akiwa hajitambui!

Nawaahangaa wabunge was COM (ambao ndiyo wengi bungeni) kwa kutoliona hilo na kumpa Uspika wa Bunge!
Anafaa na anatosha kabisa kwenye nafasi hiyo, mnachotakiwa na kumheshimu tu.
 
Ukomo wa kuzuia unaishia Bungeni akumbuke huku kuna Mabunge ya FB, Twitter, JF etc!

Mh.Ndugai anawapenda wabunge wote na ndio maana alichaguliwa kwa kura nyingi wakati wa uchaguzi wa spika, baadhi ya wabunge wanashindwa kufuata sheria kwa kuwa wanamuona ni kjiana mwenzao ndo maana wanajisahau na kuanzisha mivutano isiyokuwa na sababu, Mh Ndugai usirudi nyuma songe mbele usisikilize lawama kwa wapinzani.
 
Kwanza audience nzuri kwa sasa haipo bungeni. Mange Kimambi taarifa zake zinasomwa na zaidi ya watu mil 2 na bado hayuko Bungeni. So, who cares? Ukimzuia Bungeni atasikika zaidi thru other media channels.
 
watu walizowea kuwachezea maspika waliopita, lakini mh. Ndugai anafuata sheria na kanuni za Bunge, hivyo ni lazima wabunge watii sheria na kanuni za Bunge bila shuruti.

Unajua unachoongea au unaropoka tu. Ni kanuni ipi ya Bunge inayompa mamlaka spika kutompa mbunge nafasi ya kuongea Bungeni muda wote wa kipindi cha ubunge wa mbunge mhusika? Kama hujui, kaa kimya. Acha wanaume waongee.
 
Back
Top Bottom