Search results

  1. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hapa kiomboi mjini, shule ipo mjini na huduma zote zinapatikana
  2. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kuna mtu ngoja nichek nae kama atakua interested
  3. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mi nipo iramba singida, nataka kuhamia manispaa dodoma au moro. idara sec
  4. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwalimu wa secondary, nafanya kazi iramba singida hapa mjini. Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo kutoka dodoma mjini au moro. 0716593708
  5. A

    Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    BRN kwa huu upuuzi wanaotaka kuufanya, watakua wanampigia mbuzi gitaa. cjui kwanini wanachezea elimu
  6. A

    StarTV Live: Uwajibishwaji Viongozi wa Halmashauri nchini

    Tatizo kubwa ni ukumbatiaji, mtu anakamatwa kwa ubadhilifu wa fedha anahamishiwa wilaya nyingine anaendeleza mchezo huo huo. Tatizo ni urafiki katika kazi, wangekua wanawajibishwa haya mambo yasingekuwepo. Baadhi ya wilaya madiwani hawaonekani, wapo kama hawapo pesa zinaishia kuchakachuliwa na...
  7. A

    StarTV Live: Uwajibishwaji Viongozi wa Halmashauri nchini

    Hizi halmashauri zimezidi kula pesa, tena wanazitafuna wazi. Kuna H/M huku singida inalalamikiwa na kila mtu si watumishi hadi wananchi wa kawaida, hizi halmashauri zinapaswa kuchunguzwa
  8. A

    Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    watanzania sisi 2livo waoga yani mimi 2015 naona mbali na uchungu na makodi nayokatwa kila mwezi then ma2mbo mengine yanafaida. Nchi ishaoza 4 sure
  9. A

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    jamani mama mchungaji anachunga kondoo, kama kweli anachunga nini hapo, kufundisha wizi. Wanafuja 2 uchumi wa nchi afu si walala hoi ndo 2nasuffer da consequences.
  10. A

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Naona kawa mtabiri, hahahahaha yani huko ofcn kwake hana kazi za kufanya mpaka aongee huu u2mboo, au ndo alikua anatafuta njia ya kusikika 2tambue uwepo wakee, nonesense.
  11. A

    Swali jepesi kwa wanazi wa CHADEMA

    2nahitaji viongozi bora co bora kiongozi. Anaejua matatizo ya wananchi wake, co porojo nyingi lakn actions hakunaa.
  12. A

    Kweli wabongo tumetoka mbali!

    Ukivaaa chupi mpya utahakikisha umekaa vibaya mpka w2 waione, ki2 cha zipu kimeandikwa usione soo, cjui nini.
  13. A

    Tangazo la Kanumba Star Times

    Kiukweli mi mwenyewe cjalipenda halina kiwango
  14. A

    New comer

    Karibu
  15. A

    Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

    wito wa nini? Kwahiyo utakubali kugandamizwa kisa wito, ni kazi inayotakiwa kuheshiwa na kila m2, mwlm akiamua kulipumbaza toto lako anaweza.
  16. A

    Hivi wasichana wakiingia chuon huwa wanazuzuka na nin?

    Wengine wanavua na pete kabisa na sio wadada tuu hadi wamama wazimaaa
  17. A

    Dj fetty talks about anti-virus: Kuna ukweli apa jaman?

    tatizo wanajiona wao ndo wao katk burudani, kiukweli wanaboa sometymz.
Back
Top Bottom