Search results

  1. F

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    😂😂😂Wadanganye wengine kaka
  2. F

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Its not designed to reach that speed...according to manufacturer's manual its 120km/h max.
  3. F

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    http://www.xinhuanet.com/english/2017-05/31/c_136328584.htm
  4. F

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    😂😂😂😂 Wadanganye wengine
  5. F

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    When did 100km/hr train be equal to 160km/hr train? When did a diesel powered train become faster than electric train?
  6. F

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya terminals zenu nzuri sana tena sana...shida ipo kwenye treni yenu na speed yake😂😂😂 If you use common sense huwezi fananisha diesel engine vs electric train
  7. F

    Kumbukizi: Watanzania Waliosimamia kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi

    Unajaza watu wengi bila sababu, hao wote waliwakilishwa na waziri wao wa sekta.
  8. F

    Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    jaribu kuficha ujinga wako kidogo...sasa ulitaka iwe siri ili wateja washtukizwe kuwa KQ wamekatisha safari za Nairobi-Dar kimya kimya? Watu wanapanga safari zao mapema hivyo ilikuwa muhimu kuwajulisha public ili waamue safari zako kulingana na taarifa waliyopewa....hata juzi hapa tumeona mabasi...
  9. F

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Punguza makasiriko...kibiashara wote tunapoteza. Angalia frequency na idadi ya miji KQ anayotua utaelewa nani atampigia magoti mwenzake 😃🤭
  10. F

    Vijana wa Tanzania tunajifunza nini kuteuliwa kwa Waziri Mkuu wa Ufaransa mwenye miaka 34?

    Ni umri mzuri kwa vijana wanaójitambua. Tanzania imewahi kuwa na viongozi wenye umri mdogo zaidi ya huo. Mfano, Dkt. Salim Ahmed Salim na viongozi wengi baada ya uhuru.
  11. F

    Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Ambae hajasoma asome hapa. Kama ni kweli, serikali iko sahihi....unless kama kuna utaratibu ulikiukwa.
  12. F

    Ndege ya ATCL Bombardier Q-300 Imekwama Malta Kwa Miaka 4.CEO Asema Spea Hazipatikani!

    Tujifunze kufuatilia mambo kwa kina...hii ndege imeletwa kabla ya magufuli. Hata namba yake ya usajili inajieleza 5H-MWF
  13. F

    Zanzibar Kuachana na Magumashi ya TANESCO.Yaingia Mkataba Kuzalisha Umeme Wake Yenyewe

    Kabisa walipe deni letu kwanza ndio wahamie huko... By the way hiyo ni mipango ila mpaka kukamilika itachukua muda kidogo maana 3 trillion TZs sio hela ndogo na upatikanaji wake hauwezi kuwa wa haraka hivyo
  14. F

    HESLB Mwanza mjirekebishe

    Taasisi nyingi zina mifumo kwa sasa, no need ya kwenda kupanga foleni. Mfano; bank statement saivi unavuta mwenyewe tu huhitaji kupanga foleni
  15. F

    HESLB Mwanza mjirekebishe

    Usiteseke boss nenda kwenye website yao https://olas.heslb.go.tz/olams/pre-applicant alafu nenda sehemu imeandikwa loan beneficiaries utalogin kwa namba ya form 4 kisha utaweza kuona statement zako in full...ukikaribia kumaliza unaweza kwenda ili wakupe barua ya kumaliza. Ukiwa mfuatiliaji...
  16. F

    Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

    Hahaha unapangua gia tu...njia nyeupeee
Back
Top Bottom