habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na...
mtambuzi mimi ni miongoni mwa hao wa2 unaowasema.nilipost thread hapa wadau wakanishauri sana na nkaamua
ku follow my heart. lakini huyu baba mtoto ni mkorofi hataki kabisa kuniacha na kuheshim hisia zangu. ni mateso kwa kweli.
nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao <br>
hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa and i stiil love him coz tuliachana kwa kupotezana katika <br>
kutafuta maisha. so wana jf...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.