eti hiki ni kgezo cha upendo wa dhati....

Kila mtu anastahili yake ya kuonyesha mapenzi yake kwa mwenzi wake!
 
Hayo ndo mavituz yanatotakiwa. Kama hufanyi hivyo kwa mwenzi wako anza maanake siku akifanyiwa atakusahau tu.
 
Hicho sio kipimo ingawa kina nafasi yake! Ni kama pesa. Huwa sio kigezo lakini inanafasi yake katika kustrengthening mapenzi!
 
Mama lubago hayo ndiyo matokeo ya porn pictures kuiga mambo hovyo..hamna lolote zaidi ya ushetani au kugeuzwa bidhaa majaribio tu..leo unanyonywa..kesho unamwagiwa usoni..kkutwa unageuzwa nyuma..siku si nyingi unaanza kutuchafulia siti za daladala..dunia inawayawaya kama mlevi sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom