Search results

  1. A

    Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Rado-Usiulize Balozi-Kwene chati Johmakini-Ufalme
  2. A

    TAKUKURU MPO?; Hivi ndivyo Tanesco inavyoiba fedha za Askari Magereza na askari polisi

    Tarehe 24 April 2018 ndo mjitetee sasa tutashangaa tukiona mnapiga raia.
  3. A

    Pata mabati ya rangi(bei ya kiwandani)

    Ni bati za kampun gani?
  4. A

    Nauza till za voda na tigo wakala

    Bei gani?
  5. A

    Kwa wanaofahamu kampuni za minara Dar-es-salaam

    Sincro wanacontrol minara ya voda na tigo kwa upande wa power zaid so Sincro nafasi wanazotoa huwa ni za waliosoma Electrical na mechanical engineering
  6. A

    Kwa wanaofahamu kampuni za minara Dar-es-salaam

    Tembelea zoomtanzania.com nimeona kampun ya REIME wanahitaji watu.
  7. A

    Beats kali toka kwa P. Funk Majani

    Hivi beat ya Ngwea ya mikasi mkono Wa profesa Ludigo si ndo ulihusika zaidi au?
  8. A

    Yupi ni director mkali kati ya Nick Dizzo na Nisher ?

    Nick Dizzo ni mkali zaidi ya Nisher.
  9. A

    Meneja Babu Tale!

    Aliyekua meneja wa Diamond anaitwa Papaa Misifa,sio Msofe.
  10. A

    T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

    TID hajielewi
  11. A

    Naomba kujua 'Kid Bway' aliyekuwa mtangazaji wa RFA yupo wapi kwa sasa?

    Sandu George a.k.a Kidbway kwa sasa anafanya kazi katika kampun ya Bongo5 Media Group kampuni inayomiliki jarida la Mzuka pamoja na mtandao wa www.bongo5.com,pia Fredrick Bundala a.k.a Skywalker nae kaajiriwa Bongo5. Ni hayo tu
  12. A

    Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

    Wanaume siku hizi tunavaa BOXER,pia uwe unafua hiyo michupi yako uenda alizibeba ili akazifue baada ya kuona ZINANUKA.Uache uchafu jamaa angu.
  13. A

    Nani mkali kati ya Pitbull na Daddy Yankee?

    Pitbull mzee wa suti ndo mkali
  14. A

    Ukitaka kuwa Milionea ndani ya Mwezi mmoja fanya hivi

    Yeye anaangalia faida tu amesahau kama kuna gharama za uendeshaji wa biashara husika.
  15. A

    Msaada wa biashara gani nifanye

    Just follow your heart fanya biashara ya microfinance kama unavyowaza kikubwa watafute tu wazoefu wa biashara kama hizo wakupe ujuzi wa kazi.Wanaosema huo mtaji ni mdogo wakumbuke siku zote hakuna pesa inayotosha cha mhimu ni kuweka mipango yako vizuri baaasi.
Back
Top Bottom