Habari zenu wana JF, naombeni msaada, simu yangu (handset) aina ya BONTEL yenye line ya airtel watu kila wakinipigia wanajibiwa inatumika tu, na wakati si kweli.
Pia nikiotoa line na kuiweka kwenye handset nyingine tatizo halipo, yaani napatikana. niliformat yaani factory setting, hata hivyo...
ahsante kwa ushauri, pili pili manga inasaidia nn kwa mama anayenyonyesha? pole usinichoke kwa maswali nahitaji kijua. ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wataalam mbalimbali wa kundi hili la Jf.
Ninaomba msaada wa kushauriwa. Nina mtoto wa miezi 5. Tokea azaliwe hajawah kula chochote zaidi ya maziwa ya mama, na lengo langu hadi atimize miezi 6 kama inavyoshauriwa. Hadi sasa nimeshindwa kusubiri mwezi wa sita kwa kuwa maziwa ya mama...
Mkuu nipo mkoa wa Lindi, mashine ni mpya, sijabadilisha kifaa chochote. tatizo limeanza kama ifuatavyo:mashine ilikuwa inafanya kazi, ghafla umeme ulikatika na baada ya dakika kadhaa ukarudi tena. kujari kuendele na kazi mashine iliwaka na ikamaliza kwenye uwakaji, mara ikatokea hizo code error...
Habari zenu wana JF, nina tatizo linaniumiza kichwa sana na hadi leo hii bado tatizo lipo. nina mashine ya copy ni CANON:IR.2206 imegoma kutenda kazi. Kwenye display inajiandika error halafu inaonesha E350-0000 naomba msaada kujua tatizo. Natanguliza shukrani.
Habari za.asb, Nashukuru kwa maelekezo. Ni kweli niliingia setting hadi cell broadcast messages na kuweka off. Hadi sasa sijaona tena zile sms zikiingia. AHSANTE SANA mtaalam WICK
Habari zenu watafiti, wasomi na wachambuzi wa mambo. leo ni siku ya tatu napokea sms mfurulizo hadi zinakera. niliwapigia Airtel wakajibu sio sms zao labda niangalie setting ktk simu. kuna chanzo nakihisi kuhusu hili tatizo:kuna mtu nilimuomba anitumie namba na akaniambia ameshatuma kwa mfumo wa...
Jamaa zangu habarini za asb, ninaomba msaada wa ufaanuzi kuwa; natumia simu ya TECNO K8 SPARK na ina MICRO INTELLIGENCE, nilisikia matangazo ya simu hivi karibuni nikasikia kuwa hii ni akiki ya bandia. Sasa naomba ufafanuzi inafanyeje kazi, na kwa kazi zipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.