Habari wapendwa ni matumaini mko wazima wa afya.
Napenda kuwashirikisha fursa ya kuwekeza ndani ya Jiji LA Dodoma. Ni hivi anatafutwa muwekezaji wa kuingia nae mkataba ajenge Jengo la ghorofa maeneo ya mjini kabisa ya Jiji LA Dodoma (Uhindini). Eneo ni strategic kwa biashara hivyo mwenye...
Habari wadau,
Nina degree ya Economics nataka kusoma Masters ninazo kozi mbili naomba mnishauri ipi ina soko mtaani kati ya Msc Finance and Investment toka IFM na Msc in Economics from Open university.
Napenda kujua ipi ni kozi isiyona shida ktk usomaji wake na baada ya kusoma ipi itanisaidia...
Habari wandugu,
Nina mtoto wa miaka minne juzi alipotoka shule alipata chakula cha mchana then akalala, alipoamka akawa analalamika kichwa na tumbo vinamuuma.
Nilimpa Panadol then tukalala sasa usiku wa saa kumi akataka kwenda haja, aliharisha na ikawa mfululizo hadi asubuhi. Asubuhi nimempa...
Habari, kwa wakazi wa Dodoma mjini tunatoa huduma ya kuchimba mashimo ya choo kwa ufanisi mkubwa. Bei zetu ni ndogo na pia tunachaji kutokana na mwamba uliopo.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
Natoa huduma ya kuomba nafasi za kusoma chuo (online application) kwa popote ulipo nakuhudumia na pia kama unashida ya kuomba loan board karibu, gharama kwa mtu mmoja ni 30,000 tu.
Pia tunatoa na ushauri wa kozi za kuomba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.