Search results

  1. mkush

    1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

    Umeandika Kwa utulivu,kiutu uzima,kikomavu,Kwa upeo WA mbali na Kwa uwazi na ukweli..post hii moja inatosha kabisa kufunga huu mjadala.
  2. mkush

    1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

    Mang'enya alikuja kupewa uchifu WA heshima WA kibondei baadae baada ya kuhaso Sana kama mwalimu akizunguka Tanzania.Si kama 'machifu' hao uwazaniao.tafuta kitabu chake cha Displine and Tears utapata uhalisia humo
  3. mkush

    1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

    Nimepata kusoma moja ya kitabu alichoandika huyu Mzee Erasto Mang'enya kinaitwa " Displine and Tears".ni kitabu kizuri Kwa kweli kikielezea uzoefu wake kama mwalimu kipindi cha ukoloni mpaka Uhuru.
  4. mkush

    Imekuwaje Kiss FM kuanza kutumia Kiswahili?

    Hii nakubali kabisa...ilikuwa na ladha tofauti kabisa
  5. mkush

    Ijue Botswana japo kidogo tu

    Awamu Yao hii.daaah....
  6. mkush

    Vinyago/midoli vina roho

    Unajua totally ukikiangalia hicho kinyago huhitaji kuwa na macho ya kiroho kugundua kuwa kuna uzima una exists ndani yake..kuna uwezekano mkubwa kuwa ni kweli huwa vinabeba roho.sasa ndio ninapata nafasi tena ya kujifikirisha kuwa je ni kwanini na kwa sababu ipi husababisha vinyago au midoli...
  7. mkush

    Vinyago/midoli vina roho

    Aisee nina vinyago viwili vya kimakonde nililetewa na mdogo angu alipoenda site ntwara..mda huu nasoma hii kitu naviangalia kwa umakini sana.mwenyewe akiclaim kanunua kwa gharama kweli.ila ss napoteza mzuka wa kuendelea kuviweka ndani,kumrudishia siwez na wala kuvitupa si hekima.i guess...
  8. mkush

    Vinyago/midoli vina roho

    Kazi ipo
  9. mkush

    Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Yani kwa kweli neno mkuu ni km legal term ndani ya jf inayodumisha kuheshimiana,kuthaminiana, na zaidi ni brand ya hekima na busara ya jamii yetu watanzania.hivyo linapotumika humu huakisi vyote hivyo nilivyovitaja.na ukitaka kumjua mtu ni member wa jf hata kwa msg za kawaida au maongezi yyte...
  10. mkush

    Watoto wa siku hizi hawajui michezo hii

    Daaa mzee utakuwa ulikulia mby km sikosei..haaa haaa enzi hizo kiswele sijui mgangaluma zinatamba sn kwenye sekta ya usafiri
  11. mkush

    Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

    Kuna game ilikuwa world cup 2006 km sikosei kati ya ureno na uholanzi..daa ile game sitokaa nije kuisahau..ilinikosha si kidogo
  12. mkush

    I am in love with my brother

    Tamthilia na muvi zinawaharibu sana...unahitaji viboko hamsini kasoro viwili kulitoa pepo hilo ndani yako
  13. mkush

    Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    Kwanza unaonekana wazi kuwa unatania tania(namna unavyojibu baada ya kuquote). Nilipokuwa nagundua kuna 'mianafunzi' type km hii nilikuwa nacharaza sn sjamboks..shame
  14. mkush

    Ya Adebayor yapo kila familia TZ?

    Daaa ktk siku mkuu@The Boss umenikosha basi ni kwa hili andiko..hii ni tabia mbovu sn.huwa nina utaratibu wa kuwafundisha marafiki na ndugu zangu juu ya kitu ninachoamini na kukielewa kuwa ni sahihi.na pia huwa napenda kujifunza pia toka kwao.ktk kitu huwa ninajaribu sn kukijenga juu ya 'madogo'...
  15. mkush

    Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

    Kwamba unaweza kujifunza jambo toka kwa mpenzio aliyekusaliti?u kent be serious mkuu.kwa mara ya kwanza nami nimejifunza jambo toka kwako kupitia jf.
  16. mkush

    Ushindi wa Mayweather utata

    Weza kabebwa tu..msitumie hoja eti kurusha ngumi nyingi si kuwa zilimpata..kuna haja ya kuangalia mara tatu na zaidi hili pambano angalau mjiridhishe kuwa jamaa kabebwa..tatizo mmarekani asingekubali kushindwa koz game hii ilikuwa na sura ya kidiplomasia na utaifa rather than sura ya...
  17. mkush

    Kweli duniani hamna haki

    We acha tu..mbereko zipo kila nyanja
  18. mkush

    Hili ni jengo lipo Tanzania Nisaidieni ni office ya nini na ni mkoa gani

    Ni kama mleta uzi unajua unachokiuliza ila kiujanja unataka kuwasilisha kitu flani kwa uficho..sijui km nitakuwa nimekosea.
  19. mkush

    Ester Bulaya: Wassira nitakuangusha hata kama si kwa tiketi ya CCM

    Kweli kwa hiyo hoja ya kumfananisha na kina lusinde au asumpta au rage hapana si kumtendea haki..anajitahidi kuigiza binti wa watu at least anaonekana ana utu..huko kwingine ulikogusia sipendi kuongelea.
Back
Top Bottom