Search results

  1. DJkus

    Virusi vya Corona vyatajwa tena Kenya

    Habari wanaJF Mara hii ni wawili baada ya yule mwanafunzi aliyewekwa chini ya uangalizi! Tujipange kwa kile kilicho ndani ya uwezo wetu. Habari kamili [emoji116] ================ The suspected Coronavirus patient was admitted at the Coast General Hospital. UPDATE: Two more people have...
  2. DJkus

    Nini lengo la VTS na kwanini isiwe speed governor?

    Habari wana jamvi! Moja kwa moja nijikite kwenye mada. Mosi, kumekuwa na heko kwa serikali kutokana na hizi Vehicle Tracking System (VTS) bila kujali utendaji kazi wake na namna unavyoweza kudhibiti mwendo. Kazi yake ni kumtaarifu dereva anapopitiliza speed zaidi ya 85km/hr lakini sio...
  3. DJkus

    Wenzetu wamenufaika na VISA free je sisi?

    Habari zenu wana jamvi, Nimeona hili bandiko nikajiuliza, je sisi tumenufaika kwa lipi katika mikutano ya wakuu wa nchi na serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi kama Mtanzania mmoja mmoja?
  4. DJkus

    Shinyanga Kahama: Askari ajiua kwasababu ya kukosa watoto

    Habari za mchana wakuu! Nasikia kuna askari amejifyatulia mtutu na kujimyself hapo Bank ya Access Kahama... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DJkus

    Mtoto wa miaka 4 anaweza kujielezea?

    Je mtoto wa miaka hiyo anaweza kuelezea hali mbali mbali anazosikia, kuziona au kuzihisi nazo zikawa ni halisi na zikahitaji kufanyiwa kazi kulingana na anavyoelezea? Msaada wenu waungwana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. DJkus

    Mfunika Kombe Mwanaharamu apita: Bajeti ya kutengeza barabara haraka viongozi wakija inatoka wapi?

    Habari kwenu wanaJF.. Barabara zetu nyingi za mikoani na Wilayani ni vikaangio vya vitumbua na au Muffin Pan's. Pindi viongozi wa maeneo husika wasikiapo kuna ujio wa maboss wao toka juu basi watapamba kusafisha na kuziba mashimo yote barabarani Mie huwa najiuliza budget hutoka wapi ya haraka...
  7. DJkus

    Utapeli wa kuzushiwa Watoto wetu kuumwa ghafla shuleni utasababisha ugonjwa ya moyo! TCRA chukueni hatua

    Asubuhi hii baada ya kumpeleka mtoto shule nikapokea ujumbe huu wa simu: "Habari ya saa hii mzazi uongozi wa shule tunapenda kukujulisha kwamba mwanao amepatwa na tatizo la ghafla huku shuleni. Kwa sasa tupo naye hospital mimi ni mwalimu" Simu iliyotuma ujumbe huo ni 0712578670 Kila...
  8. DJkus

    Bila wote kufuata vibao barabarani ajali hazitakoma!

    Nimesafiri jana na basi tokea Moro kuelekea ngara kupitia Kahama. Basi nililo safiri nalo lilitozwa faini 3 yaani 90,000/= zisizokuwa na kichwa wala miguu. Kwa mujibu wa hudumu wale huu ndiyo wastani wa faini kila siku. Kwa malezi yao kwao barabarani yaani ni full stress. Nilijiuliza sana hata...
  9. DJkus

    Bila wote kufuata vibao barabarani ajali hazitakoma

    Nimesafiri jana na basi tokea Moro kuelekea ngara kupitia Kahama. Basi nililo safiri nalo lilitozwa faini 3 yaani 90,000/= na kwa mujibu wa hudumu wale huu ndiyo wastani wa faini kila siku. Yaani ni full stress. Nimejiuliza sana kwa idadi ya abiria tuliokuwamo mule fine hizi mzigo wake ni full...
Back
Top Bottom