Kuna wasomi wa dini ya kiislam moja wale wazee waliosoma katika level ya kusoma hitma na wale waliosomea vyuo vya asia uarabuni huwa wako tofauti kabisa na wale waliosomea Misri maana wasomi wa Misri wamechimba shule kwa ndani sana ni wasomi haswa wa Elimu ya dini ya Kiislam.Course yao ni miaka...
Jamani nchi watu wake tuna matatizo na nadhani ni mfumo wa elimu yetu.Aliyeanzisha uzi huu anauliza Cv Watu wanaleta mambo mengine au ndiyo ajira hizo za mtandaoni
PROJECT WORK in our schools
AIM
Project Work is a learning experience which aims to provide students with the opportunity to synthesize knowledge from various areas of learning, and critically and creatively apply it to real life situations. This process, which enhances students’ knowledge and...
Kwani mfano alotoa ni uongo hamziki haraka ?una complicate maisha bila sababu sana kwamba ulilazimishwa kuwa muislamu ,naumia tena Kwani hamziki haraka ?tatizo ni nini hapo
Muhongo sisi mwaka siasa mwizi wa kkmataifa kaletwa special naye kufanikisha mwizi kwnye gas mnataka kumuondoa kabla diligent haijaisha nani kawaambia , mkwere ana roho ngumu na dharau sana
mnasumbuka tu kwa pinda unaona anafaakuongoza watanzania wa Leo rais ijatoka ukawa kwa nguvu ya umma Siyo usalama polisi wala jeshi la ccm ,ccm wanasambaratika hata kabla ya uchaguzi subiri watangaze mgombea wao mlnatuombe uhai mtaniambia
Kwa aliyemiss hotuba ya jk👇👇👇
HOTUBA YA MH RAISI
Kikwete: Naendelea kuimarika kila siku japo sipo fit kabisa. Leo nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa, umeenda vizuri ukiacha maeneo machache. Ni uthibibitisho wa kuendelea na kukomaa kwa demokrasia na...
mWENYEKITI WA bavicha MKASIKAZINI
MAKAMU MWENYEKITI MKASKAZINI
ACHA UFARA WEWE UKANDA NA UKABILA UKO WAPI HAPA HAKUNA KUJIPENDEKEZA NDO UPATA WADHIFA NA WALA WADHINA HAUTOLEWI KWA UKANDA FANYA KAZI ULE SIYO UPAMBE TU NA KUSIFIA SIFIA UTUMBO KAMA NDANI YA CCM
Li nchi hili lishakwisha na hamna njia ya kukomboa nchi hii bila kuandamana mpaka kieleweke tena ikiwezekana jwshi lichukue nchi,watu hawana uwezo wa kazi kisa kujipendekeza ndo wanapata vyeo kama huyo DCI hivi ni mtanzania kweli?mbona kama mnyarwanda vile?
hii ilikuwa semina siyo mdahalo,ni semina nzuri kama watanzania waliosikiliza hawaelewi basi,ila naunga mkono semina hii irudiwe mara mara nyingi ila kuondoa unafiki wa ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.