Ndiyo maana nilihama kitambo, na hii ni baada ya kutoka NBC, nilikuwa nawaamini kwa kipindi kirefu. Bahati kote walikiri kunipiga na kuwahamisha mateller, babati mbaya baada ya kipindi sikuwaona tena, nadhani walifukuzwa .
Sauti itokayo nyikani, hakuna uhuru ndani ya moyo wa mtu bila kusamehe, ukisamehe, utakuwa umeutua mzigo mzito unaotembea nao kifuani na moyoni mwako na waliokuzunguka. Amina, TAL, samehe kila kitu na kwako hii itkuwa shule kubwa kuliko ya darasani. Tanzania ni yetu, neno AMANI, upendo na subira...
Pamoja na kutumia Kanuni za Bunge letu tukufu, kilicho juu ya vyote ni Katiba. Katiba inaoverule kila kitu, maana ndiyo msingi wa kila kitu. I beg to be corrected kutoka kwa wenzetu Wasomi waliobobea, kwa maana ya Wanasheria.
Mwanangu Isaka kama ameishiwa hoja za kuchangia katika kuhalalisha kikokotoo chake ni bora angenyamaza kuliko kutoa kauli ya matusi kama hii. Anazidi kuudhi na kuudhi. Kabla ya kuhamia Dom, PSPF walishatupatia stahili zetu wala hii 25% haikuwepo. She better remain silence instead of uttering...
Nami kama Atheists, naamini kuwa kuwa ukifa imetoka na hatuna tofauti kama anapokufa kuku au kiumbe chochote chenye pumzi. Kinachotuchanganya ni conscience or consciousness. Naamini hakuna moto au kiama au maisha ya milele. Ni mawazo ya kijinga kuwa kuwa ukifa kuna kufufuka, wala makaburi...
Really, Asa is so credible, has got no hurry, he is
diligent and hard working. Unapo muimplicate na maswala kama hayo is a total derailment on the whole episode.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.