Search results

  1. Triple G

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Laana anayozungumzia ni ile ya kwenda kuloga/mganga na kutamka maneno ya kuhuharibia maisha yakiambatanishwa na nguvu fulani fulani za kigiza. eti tu mtu mmeachana kwa tabia zisizo akutamkie tu kuwa utapata laana haiwezi tokea hiyo. NB; 90% wanawake wengi ni washirikina so wanaweza kukuharibia...
  2. Triple G

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Inaonekana wewe unashiriki kuloga huyo jamaa! Ni mtu wa waganga. Acha hiyo tabia.
  3. Triple G

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Nilikua nataka uje kwenye pointi yangu! Naona umenasa hiyo ya KULOGA! Hizo laana unazosema ndio hizo za mwanamke kwenda kumloga mwanaume asifanikiwe au aharibikiwe maisha yake. Hii ni dhambi kubwa! Kwa taarifa yenu hakuna mwanaume anayeweza kuacha damu yake ikipata shida. Wengi huwa wanaamua...
  4. Triple G

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Labda aseme mwanamke kwenda kumloga mwanaume! Maana wanawake kwa ulozi si mchezo. Kuna sababu nyingi jamaa kuamua kumtema mtu ikiwemo tabia kubadilika za mwanamke. Unakuta mwanamke tabia zinabadilika anaanza kuwasiliana na mabwana wengine na wengine huenda mbali hadi kuzaa nao na unaishia...
  5. Triple G

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Yeye anaweza dhania anapiga hela kumbe anapigwa yeye! Handen kuna ulozi sana
  6. Triple G

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    100% true! Maana unakua una uhuru kupitiliza so kama ni ME ndo uta loose selfcontrol(starehe) mwisho wa siku majanga.. Ndoa pamoja na mapungufu yake ila inakurekebisha kitabia kwa njia moja au nyingine
  7. Triple G

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    Kitu nilichokuja kugundua katika maisha haya Zawadi pekee ambayo tunatakiwa kujivunia ni UHAI na AFYA NJEMA hiyo inatosha kukufanya kuwa mwenye furaha maisha yako yote. Unaweza ukawa na pesa nyingi sana hizi tunazohangaika kuzitafuta lakini Afya ikipigwa tu huna furaha tena na pesa zako japo...
  8. Triple G

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Yupi ni tongoza tongoza Sofia au prof? Sofia nampata ndio anasimamila ile Hosp ya Janabi ya Dr Plaza pale morroco dsm
  9. Triple G

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    mali imekua mali! Watu wanaabudu sana mali kuliko utu! Na hii dunia ukiwa lege lege mbona wanakulambisha mchanga.
  10. Triple G

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Ni rahisi kwa Ngamia kupenya katika tundu la sindano Kuliko Tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.
  11. Triple G

    Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Hii habari imeletwa na ME au KE?
  12. Triple G

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Ni laki moja mkuu kipimo! Ila fuata taratibu zote. Hawa wanawake wanapenda kubambikia watoto hakuna kitu kinauma kama hicho! Kubambikiwa na baadae kuja kujua kuwa mtoto si wako. Bora akuambie ukweli kuwa alitereza hapo ndio utaona mnafanyaje! Hata wazungu nao hawapendi kubambikiwa. Hio ni...
  13. Triple G

    Mfahamu Babaji

    Sasa sisi tutamjuaje umeleta story nusu! Weka uwasilishaji wako vizur
  14. Triple G

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Chakata mbususu kijana! Imejileta yenyewe, mlivokua mnaambiwaga kuwa mtazikuta na kuziacha sasa pambana..ndo ushaoa hivo. Na mademu wa hivyo ukicheza karata zako vibaya atakuharibia maisha yako completely...ataenda kukuloga hutaamini maana atataka kulipiza kisasi..wewe nenda nae taratibu.. NB...
  15. Triple G

    Haya ni mambo 25 ambayo hujawahi kuyajua kumhusu paka

    Katika wanyama ambao siwapendi ni Paka! Siwapendi kabisa
  16. Triple G

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Ulimwengu huu ni mpana sana!
  17. Triple G

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    Sasa chief ukishakaa na jamii lazima kuna mambo lazima utasikia! Kuna mademu wengine friji zao hazigandishi anasimulia jirani ake wa kike huyo jirani yake ni rafiki yako na huyo rafiki yako ana rafiki yake...anasimulia watu hovyo..habari zako unazikuta mtaa wa saba!Ni kawaida kwa jamii za...
  18. Triple G

    Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

    Safi sana! Ulikua kimya sana! Tulikumisi rafiki yetu
Back
Top Bottom