Search results

  1. Mr Tyang

    Uchaguzi 2020 Waraka kwa Wagombea: Kama wewe ni Mgombea na uliwekeza nguvu nyingi kwa Vijana tegemea leo kuangukia pua kwenye kura

    Kwenu Wana badi; Ikiwa Ni mapema kabisa mwa siku maalumu ya Leo 28/10/2020 ambapo Hatma ya Amani ya taifa inaenda kujulikana Baadaye ningependa kuwakumbusha haya machache Wagombea wote wa Uchaguzi huu kabla ya tukio ili kwa pamoja tulinde amani ya nchi yetu. 1. Kwa Wagombea wote waliowekeza na...
  2. Mr Tyang

    Wito kwa Lissu; Jitokeze kwenye vyombo vya habari uwaombe msamaha wafanya kazi kwa kuwaita takataka

    Tundu Lissu nakuomba Sana Kama unataka upate angalau asilimia 20% za Kura za Watanzania nakuomba Sana jitokeze mbele ya media uombe msamaha kwa wafanyakazi wote wa kuteuliwa na wakuajiriwa na serikali iliyo chini ya rais Magufuli Baada ya kuwaita takataka na majalala. Tundu Lissu nilikushauri...
  3. Mr Tyang

    Uchaguzi 2020 Waraka wangu kwa CHADEMA kuhusu kampeni

    Ndugu zangu Viongozi na wanachama wote wa CDM bila kupoteza Muda naomba niwape ujumbe wangu huu kwa leo; "Ni dhahili na ukweli usiopingika kuwa idadi ya Watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kwenye kampeni za CDM Ni ndogo mno ukilinganisha na matarajio yaliyokuwepo, Mfano hakuna alietegemea...
  4. Mr Tyang

    Uchaguzi 2020 Kuelekea 25/08/2020: Mbona CHADEMA mmeanza kuhangaika sana?

    Kwenu Viongozi na wanabodi; Bila kupoteza Muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja; Leo nimekuwa nikijipa Muda wa kuchungulia kinachoendelea huku mitandaoni hasa JF na Twitter lakini Cha kushangaza nikuwa post nyingi nilizozipitia zimejaa hofu kubwa juu ya zoezi la kuwapata Wagombea urais...
  5. Mr Tyang

    Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

    Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda. Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma. Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi...
  6. Mr Tyang

    MSAADA: JUU YA KAMPUNI YA T.PURCHASE.

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza kwa mwana jamvi yeyote Alie na uelewa na hii campuni ya Tpurchase ambayo inajihusisha na online investment Kisha kurudishiwa asilimia 40 ya pesa uliowekeza baada ya siku Saba..anijuze zaidiii maana humu ndo Kuna ma great thinkers wa kutosha. Sent using...
Back
Top Bottom