Search results

  1. kigwenje

    Wahusika angalieni barabara ya Kwamnyamani kwenda Vingunguti

    Kuna hii njia yakutokea kwamnyamani, kwenda vingunguti, tabata,mpaka kwengineko, hii njia nifinyu, kwa wapita njia, twaomba mtusaidie.
  2. kigwenje

    Karibu CJ Cleaning upate huduma za usafi

    Cj cleaning Karibu cj cleaning Huduma zetu .tunafua mazulia Tunapiga polish Tunasafisha seat za magari Viti Soffa Masink ya choo Tupo kijitonyama mesuma hotel Tunapatikana kwa no 0672181130 what app 0655556426
  3. kigwenje

    Tunatoa huduma ya kuosha magari

    Tunatoa uduma za usafi wa magar aina yote, makubwa kwa madogo, tunapandisha juu, inaoshwa chesesi na kwenye ingine, pamoja na ndani, tunasafisha siti, rufu ya juu, tunapiga wax, pia na taa, tunanyoosha gar kama limegogwa, na kupiga rangi, Tupo mwenge mpakani kwenye sheli ya Oili com. Mawasiliano...
  4. kigwenje

    Tunafua mazulia pamoja na masofa ya ndani na siti za gari

    Popote nakuja hata nyumbani kwako, pawe na bomba la maji tu. mawasiliano 0757416664 au 0655556426. Tunapatikana Mwenge, Mpakani - Dar.
  5. kigwenje

    Tunauza bajaji used

    Tunataka 4500000,. Bajaji ipo mwenge, mawasiliano 0757416664, au 0655556426, haina mbambamba.
  6. kigwenje

    Tunasafisha magari aina yote

    Tunasafisha magari haina zote, tunaosha, tunafua siti, rufu, tunang, arisha taa, tunamwaga oili, tunatengeneza magar, tunapiga rangi, tunapiga polish ya mashine, pia tunakosha mazuria ya nyumba, pamoja na masofa ya ndani, Tunapatikana mwenge mpakani, kwenye sheli ya oili com, mawasiliano...
  7. kigwenje

    Upi utaratibu wa kupeleka Barua ya Posa?

    Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa wa Mwanza yani msukuma, wazazi Wake wapo Mwanza. Na, mimi ninachokitaka nijue utaratibu wa kupeleka...
Back
Top Bottom