Search results

  1. gizalucky

    Swali: Biashara ya betting. Mtaji na faida?

    Biashara ya betting imekuwa kwa kasi sana miaka ya hivi karibuni. Napenda kuuliza kwa anayejua inaingiza shs ngapi kwa mwezi. Na kawaida mtaji wake ni bei gani?
  2. gizalucky

    Posho...allowances..wadau nisaidieni ushauri/elimu katika hili

    Swala/Swali ni hili; Hivi posho( allowances) huwa zinakatwa kodi?? Je huwa zinajumuishwa kwenye mshahara then kupata gross salary ambayo inakatwa kodi...kwa maana hiyo na posho zimekatwa kodi??? Imenitokea kwenye kazi yangu ninayofanya sasa natambua/ nahisi kuna usanii umefanyika hapa. Naombeni...
  3. gizalucky

    Miaka 50 wazee wastaafu wa EAC ya zamani wametapeliwa mafao yao.....

    ndugu wadau kweli hii ni haki?? kusherehesha uhuru bilioni 64 kulipa posho za wabunge....ongezeko >100% kukimbiza mwenge..... kuendeleza shule..... kuendeleza huduma za afya...... kulipa mishahara mizuri...... kulipa wastaafu mafao yao....... je kipi ni priority in tanzania?? tafakari:lol:
  4. gizalucky

    nipeni updates wanajamii.....

    hivi hizi ngos kama Egpaf, path, pathfinders...huwa wanatoa mshahara bei gani?? kwa daktari??working as project coordinator??
Back
Top Bottom