Search results

  1. M

    Bei holela ya mafuta, taifa moja

    Andika vizuri nione upuuzi wangu...
  2. M

    Bei holela ya mafuta, taifa moja

    Inaonekana wewe umeshafanya analysis tayari, saidia ku'share mkuu..
  3. M

    Bei holela ya mafuta, taifa moja

    Na Mbusule Shillu, Kwa muda sasa nimekuwa nikidadisi kuhusu kutofautiana kwa Bei za Mafuta kati ya Kampuni moja ya Mafuta na nyingine au hata Kampuni hiyo hiyo moja kwenye maeneo au barabara tofauti ndani ya mji mmoja. Leo nitazungumzia Bei ya Petrol katika Jiji la Dar-Es-Salaam ambayo Bei...
  4. M

    Siku ya kupinga unyanyasaji wa Polisi, iwakumbushe kutii na kufuata sheria

    SIKU YA KUPINGA UNYANYASAJI WA POLISI, IWAKUMBUSHE KUTII NA KUFUATA SHERIA Na Mbusule Christopher Shillu, Tarehe 15 Mwezi wa Tatu ya kila Mwaka, huwa ni siku ya Kupinga Unyanyasaji wa Polisi. Leo tunaadhimisha siku hii tukiwa na maumivu makali yaliyosababishwa na Jeshi la Polisi. Raia...
  5. M

    Mbezi/Kimara: Usafiri wa mwendokasi karaha tupu

    MWENDOKASI MBEZI - KIMARA KARAHA TUPU • Mfumo wa Kadi Waondolewa kwenye Magari • Kadi zawa Lulu, Bei yake Kufuru • Abiria warundikana Vituoni wakisubiri kupata Risti Na Mbusule C. Shillu, Usafiri wa Mwendokasi umekuwa Kero kwa Wakazi wa maeneo ya Mbezi ya Kimara na maeneo ya jirani kutokana na...
  6. M

    Ukipandisha bei ya mafuta ya kula itakula kwetu

    hahahahahhahahah, mbavu zangu jamani
  7. M

    Polisi kuendelea kumshikilia muhanga wa utekaji (Abdul Nondo) kunaibua maswali mengi

    Na Joseph Mshinga JN, Tuendelee kupiga kelele mpaka jeshi la polisi limwachie. Ni ipi dhamira ya polisi kuendelea kumshikilia Abdul Nondo baada ya kutekwa na kupatikana? Maswali muhimu. 1.Kwa nini polisi wanaendelea kumshikilia Abdul Nondo ambaye si mtuhumiwa bali victim wakati ametimiza...
  8. M

    Wema Sepetu Kufunguka ya moyoni tarehe 01/08/2017

    TAARIFA KWA UMMA - CHADEMA KANDA YA PWANI Wema Sepetu Kufunguka ya Moyoni Kesho tarehe 01/08/2017 Makamanda people's! Kesho Jumanne kutakuwa na tukio la aina yake katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani ambako Mlimbwende wa Tanzania 2006 Wema Sepetu anatarajiwa kufunguka aliyokuwa nayo Moyoni...
  9. M

    Kamanda Mdude CHADEMA Nyagali ashinda kesi ya uchochezi baada ushahidi kukosekana

    MDUDE ASHINDA KESI YA MAKOSA YA KIMTANDAO Wakati kesi za Makosa ya kimtando zikifutwa na nyingine kushindwa kuendelea kutokana na Upelelezi kutokukamilika, huko Mbozi hukumu ya Kesi ya Makosa ya Kimtandao iliyokuwa ikimkabili Mdude Nyagali na Wenzake imetolewa leo Tarehe 18/04/2017 ambapo...
  10. M

    Kamanda Mdude CHADEMA Nyagali ashinda kesi ya uchochezi baada ushahidi kukosekana

    Leo tarehe 18 april 2017 ilikuwa hukumu ya kesi yangu ya uchochezi mimi na wenzangu wawili. Kesi hiyo ambayo ni CRIMINAL CASE NO.128 OF 2016 imetolewa hukumu leo tarehe 18 april 2017 katika mahakama ya wilaya ya mbozi ambayo mtuhumiwa alikuwa ni mpaluka said nyagali almaarufu mdude nyagali na...
  11. M

    BAWACHA mkoa wa Dar es Salaam watembelea wagonjwa hospitali ya Ocean Road

    Leo tarehe 05/03/2017 BAWACHA Mkoa wa Dar es Salaam walitembelea Hospitali ya Ocean Road na kutoa misaada mbalimbali kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Hii ni katika kuadhimisha Wiki ya Wanawake Duniani ambapo BAWACHA Mkoa wa Dar es Salaam wamekuwa wakitembelea wagonjwa,watoto yatima...
  12. M

    Soko la ngozi ladorora nchini kutokana na kodi kubwa bandrini

    Kwa miaka kadhaa watanzania jamii wa wafugaji kama wamasai, wasukuma, wakurya na wairaq walikuwa wakifaidika kwa kuuza NGOZI kwa mawakala, kuwekwa kwenye magodauni kabla ya kununuliwa na kusafirishwa na wafanyabiashara kutoka nje ya nchi. Kwa wakati huo,NGOZI ilikuwa ikiuzwa kwa kilo ambapo...
  13. M

    UKUTA hauna chama

    UKUTA HAUNA CHAMA Na Mbusule C.Shillu, Katika nchi yoyote ile kunapoibuka vimelea vya Udikteta, kila mwananchi anawajibika kuukemea kwa nguvu na akili zake zote maana athari zitakazojitokeza kama matokeo ya Udikteta huo zitawakumba wote bila kujali dini, kabila, kanda wala mrengo wa Kisiasa...
  14. M

    John Mnyika kupitishwa kwa hila Ubungo

    Mnyika hakugombea na wala hakushiriki kwa namna yoyote ile kwenye uchaguzi wa jimbo la Ubungo. Mwenyekiti wa jimbo la Ubungo ni Diwani wa Kata ya Ubungo kamanda Boniface Jacob ambaye alichaguliwa Kidemoksia baada ya kufikia 50% ya kura. Nafasi ya Katibu mwenezi itarudiwa kwa sababu mshindi...
  15. M

    hamjui mbunte wa kinondoni amtaja mnyika

    Haha hahahaha...nimecheka sasa hii. You made my day!
  16. M

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Naomba utueleze kinaga ubaga vifo vya hawa wengine maana wengi tupo gizani!
  17. M

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Lazima tuhoji kwa sababu si jambo la kawaida kwa public figure kama yeye kufariki kama nguruwe pori.Alikuwa akitibiwa kwa kodi zetu,tuna haki ya kujua!
  18. M

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Upi huo? Mbona hata taarifa za kulazwa kwake hazikuwa wazi kama viögozi wengine? Alikuwa ni kiongozi mkubwa sana ndani ya serikali lakini ameuguzwa kama bibi yangu huko kijijini Busongo.Kuna kitu hakipo sawa hapa!
Back
Top Bottom