Search results

  1. N

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Kibonde ni mpuuzi siku zote.kaongeza nini tena kwenye CV yake asbh hii?!!
  2. N

    Naomba ushauri kwa wazoefu

    Hakuna CV hapo!! Unaanza na: 1.BIO-DATA 2.EDUCATION BACKGROUND 3.WORKING EXPERIENCE 4.REFREES.
  3. N

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    lugoje,acha kabisa kutudanganya hakuna polisi wa Tz asiyedai na kupokea rushwa,hii ni order of the day kwa kila polisi anqpoqmkq asbh,acha kutughilibu.Namlaani mwanangu yeyote atakayejiunga na Polisi TZ.
  4. N

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    huko sawa miss strong.polisi achana nako.
  5. N

    Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

    Kufa ni lazima kwa binadamu yeyote.Binti wakati wake umefika.Vijana tuache woga JKT ni mahali pazuri na panapofaa kwa vijana.
  6. N

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    Polisi hata uwe na MASTERS bado utakuwa na upeo wa kijinga tu.Hawa polisi wakishavaa magwanda ufahamu wote huwapotea.
  7. N

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    Kigwangala huna ubavu huo,labda kwa waliokuchagua.
  8. N

    MKUU wa shule azini ofisini,mkurugenzi amtetea

    Mwl ulieandika uzi huu una matatizo kwani watawala hawawezi kuwa upande wa mkosaji bila uchunguzi!!! you might be one of the problem!! usifanye kazi na illusions za Chuoni!! RESPECT THE AURHORITY TO BE SAFE. Naogopa hata hapo ulipopelekwa utahamishwa soon!!! TAKE CARE!!!
  9. N

    polisi kijenge wauwa

    Ndo polisi wa Tanzania, Elimu ndogo, ubinadamu zero na rushwa 110%
  10. N

    polisi kijenge wauwa

    Ndo polisi wetu hao, elimu ndogo, ubinadamu ziro, rushwa asilimia 100%!!!!
  11. N

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Wadau heri ya mwaka mpya nyote. VODACOM wamenisikitisha asubuhi hii kwani nimeweka shs 2000 ili nijirushe nashangaa najaribu kujiunga najibiwa huna salio!!! kucheki salio nina 800!!!Sijawahi kukopa. Sasa pesa yangu wamepeleka wapi???!!!!! Vodacom siwaelewi!!!!Hakika napanga kuhamia mtandao mwingine.
  12. N

    Trafiki na tatizo la rushwa barabarani

    Bwana bado kuna msumbufu mmoja yupo pale USA -Arusha anaitwa TOSH naye ni kero kwa madereva, anatakiwa kutupiwa jicho.
  13. N

    Kwa nini ngome za wapinzani ziko zaidi mijini na katika vyuo vikuu?

    ukweli unabaki palepale kuwa mijini uelewa wa kinachoendelea uko juu tofauti na vijijini ambako umaskini na ujinga viko juu na chama tawala kina-take advantage hiyo.
  14. N

    Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

    "Wapigwe tu!! "Na polisi wa Tanzania walivyowapuuzi watatumaliza,afadhali ulinyamaza,ungeleta ule ubishi wa kihaya ingekuwa shida.
  15. N

    Ufoo Saro na Violeth Mathias ni ndugu?

    Hivi huu ndo U-GREAT THINKER?????!!!!!Tuache upuuzi kwenye uwanja huu wa kuelimishana na tuwe na uelewa wa kutosha.
  16. N

    Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

    kujadili suala hili kwa sasa ni wastage of time, discuss issues.
  17. N

    Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

    kwenye daladala tena kwenye mataa ukiwa dirishani unatumia similar?!!!!!Ubishoo wa kijinga, usizungumze kabisa!!!!!!
Back
Top Bottom