Search results

  1. M

    Ni ipi nafasi ya wastaafu nchi hii?

    Ipo tafsiri moja TU ya Nini wastaafu wafanye katika ardhi ya Tanzania. Tafsiri ya Nini wafanye inaongozwa na ni kipi wakisemacho waliopo madarakani kwa Sasa pale tu wastaafu wanapopata jukwaa wakatoa maoni yao. Wastaafu mnaelekezwa na vijana " MKAE KIMYA" hii nchi mlichoifanyia kinatosha na...
  2. M

    Wanaobeza Haki za binadamu wakifiwa na wapendwa wao kwa vipigo Kama vya RC ndo watajua umuhimu wa sheria.

    Kuna tabia inajengeka nchi hii ya kutokutii sheria za nchi, ipo tabia ya wanasiasa kujifanyia Mambo kinyume Cha sheria. Yapo Mambo ambayo hayawezi kufanyiwa kazi na kwa miemuko ya watu au viongozi. Hivi kwa bahati mbaya mkuu wa mkoa angempiga mwanafunzi akaua leo tungemtetea? Angemfanya kilema...
  3. M

    DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

    Kuteuliwa kwa Diwan Athuman kuna manufaa kwa Taifa na ustawi wa taasisi hii nyeti kwa nchi yetu. Lakini kuteuliwa kwake kuna changamoto kwa sababu hajui vigezo vilivyotumika kumpa hiyo nafasi na siku akiondolewa hatoweza kuhoji kwanini kaondolewa na yawezekana akakabidhiwa ubalozi na maisha...
  4. M

    Kukamatwa kwa Ndege ya ATCL huko SA: Serikali imkamate mtoto wa Herman Steyn kwa kufanya udukuzi hapa nchini

    Huyu babu namkumbuka aliwekwa ndani na Mwalimu kwa kosa la uhujumu uchumi huku akijimilikisha Mali yakiwemo mashamba baada ya familia yake kufurumushwa huko Kusini na kuja kuweka makaazi hapa Tanzania. Kesi yake kuwekwa kizuizini iliwaibua mabebeberu kumtetea lakini Mwalimu alimfurumusha na...
  5. M

    Wafuatao wajiandae kisaikologia kuelekea kisutu

    Zipo taarifa zinaeleza kuwa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 baadhi ya watu wapo katika hati hati ya kupiga kampeni wakiwa gerezani au wakiwa na kesi mahakamani. Mfano 1. Benard Membe 2. January Makamba 3. Mzee Kinana 4. Paul Makonda 5. Mnyeti 6. Emmanuel Nchimbi 7. Maalim Seif 8. Suleiman...
  6. M

    Wazanzibar hawatumbuliwi bara wala visiwani.

    Wanasiasa kutoka Zanzibar hatuwaoni wakitumbuliwa katika baraza la mawaziri la muungano au serikali ya mapinduzi, je zanzibari ilichagua wabunge sahihi na waadilifu na huku bara tukachagua wahalifu na watu wasio na sifa za uongozi? Je Rais wa Zanzibar afanikiwi kwa kutobadilisha safu yake au...
  7. M

    Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

    Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini. Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo...
  8. M

    Nani amewahi kuona dodoso la NBS?

    Dr.Albina Chuwa amepingana na taarifa iliyotolewa na world Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania wa 5%,2018 akidai kuwa data zilizotumika hazina ukweli kwani ni vigumu mtu kukaa Ulaya na kupima uchumi wa Tanzania. Amedai wao wamekusanya data nchi nzima na kubaini uchumi unakua kwa 7% na...
  9. M

    RC, DC, RAS, DAS ambaye eneo lake lina wanafunzi wanasomea nje kwa kukosa madarasa jiandaeni

    Nimepata unyetisho kuwa wapo wakuu wa mkoa na wilaya pamoja na wakurugenzi ambao wanafanya kazi kwa kusukumwa....mfano, wakati tulipoanza issue ya elimu bure pamoja na ujenzi wa madarasa kukabiliana na ongezeko la wanafunzi Kila mkurugenzi ,mkuu wa wilaya na mkoa alikimbizana kukabiliana na...
  10. M

    Nilichokiona Mbezi Luis, ESTIM achani mbwembwe

    Ujenzi wa barabara ya kimara kibaha naona unaendelea, ila kwa akili yangu sikubaliani na Aina za barabara zilizojengwa eneo la stand ya mbez Luis. Hakuna miundombinu Duniani inajengwa vile katika karne hii, vibarabara vidogo, ila pia vipo vingi vya kuizunguka stand ambayo katika mazingira ya...
  11. M

    Hivi mazingira yangeruhusu Marais watumbuliwe kama wateule wengine tungekuwa na Marais wangapi?

    Nimeona namna wateule wanavyoteuliwa na kutenguliwa kila leo nikajiuliza endapo tungepewa rungu la kutengua Marais na kuweka wapya je toka kuundwa kwa nchi yetu tungekuwa na Marais wangapi? Kwanini tusiwaze kuwa na njia ngumu za uteuzi na njia ngumu za kutengua Kama walivyo Kenya? Utenguliwe...
  12. M

    Ndugai warejeshee wachina lunch,dinner,airticket na per diem walizokulipa kwa ajili ya mradi wa Bagamoyo

    Spika wa Bunge amewahi kukiri kwamba kipindi flani alipelekwa kuonyoshwa mradi wa Bagamoyo design huko China na kwamba aliambiwa Watanzania tukiukataa tutakuwa sawa na Punda. Sasa hivi tumeamua kuwa punda lakini punda mkorofi asiyetaka kuburuzwa. Tumeamua kusimama na masla mapana ya nchi siyo...
  13. M

    Mnaoitangaza nchi vibaya mna nchi nyingine ya kwenda?

    Wapo watu kila kukicha wanasaka ni kipi kibaya kimetokea au kimeandikwa kuhusu Tanzania na kikipigia tarumbeta mitandaoni wakitaka kuichafua nchi yetu lakini hata siku moja hawawezi kusambaza mema. Hawa wana nchi nyingine ya kwao? Wengi wao ni weusi wenzetu na wazaliwa ambao hata kusafiri nje...
  14. M

    Kikao Cha GWAJIMA na Mhe. Rais kinatafsiri pana kiutawala, aidha kinaacha maswali haya:

    Je, Gwajima ni mchungaji tu wa kondoo au ni mlinzi wa amani anayeishi kiapo chake? Je, zile tafrani zake na mkuu wa mkoa wa Dar zimefika mwisho na sasa wanaanza vita mpya na nzuri kuelekea ushindi wa kishindo 2020? Je, Alimpeleka Lowasa Ukawa kama wakala tu au alishiriki katika mbinu ya...
  15. M

    Sera ya utaifishaji inavyoweza kukwamisha ukuuaji wa uchumi.

    Moja ya Jambo linaloathiri uchumi ni pamoja na kukosekana kwa ulinzi wa kisheria, kiitikadi na kisera kwa wafanyabiashara. Nchi yetu wakati wa awamu ya kwanza tulifanya utaifishaji wa Mali za watu kwa kuwahusisha na uhujumu uchumi, Mali zote zilizotaifishwa zikarejeshwa serikalini na...
  16. M

    Kwanini Spika Ndugai kila anachokifanya kinapingwa na kukosolewa?

    Lipo tatizo aidha kwa mkuu wa muhimili wa Bunge au kwa Bunge letu kwa jumla. Bunge letu lilianza kupingwa pale lilipochukua fedha za kujiendesha na kuzirejesha serikali wakati huo upepo ulivuma kuwa tunabana matumizi. Toka upepo wimbo wa kubana matumizi ulipozimwa hatukumwona spika na timu yake...
  17. M

    Zitto, Mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Badamoyo umeusoma?

    Lipo fumbo kuhusu nini hasa kimeisukuma serikali kurudi nyuma kwenye ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Lakini mimi nakubaliana kabisa na serikali kwamba uzuri wa mradi uendane na uzuri wa mkataba. Tusipojikita kwenye kuuelewa mkataba tukajikita kwenye uzuri wa mradi tutafika mahali ubovu wa mkataba...
  18. M

    Tuendelee na ujenzi wa bandari tuuze utu wetu au tusitishe tulinde utu wetu?

    Serikali imesema kwamba imesitisha kuendelea na ujenzi wa bandari ya Bagamoyo baada ya kubaini moja ya kipengele cha mkataba kinataka eneo la Bagamoyo Hadi Tanga liwe na mwekezaji mmoja na asiruhusiwe mtu mwingine kulitumia. Eneo hili ni la maji na hivyo likiwa chini ya wageni hata mizigo...
  19. M

    Nawakumbusha Watanzania tumpe joto Salim Ahmed Salim, Ni mzee sasa

    Wakati wa ujana mzee huyu amelitumikia vyema Taifa letu bila kutupiga yaani bila skendo za ubadhirifu wa fedha za umma. Leo tumeona afya yake si nzuri Sana na uzee umekaribi, Ni muda Sasa wa kwenda kumsabahi na kuifanya familia yake itambue kuwa ndugu yao alikuwa na ndugu wengi katika...
  20. M

    Hongera January Makamba, ulifichwa kwenye msitu wa mazingira ukautumia vyema Sasa unanawiri

    Makamba alipoteuliwa Waziri ofisi ya Makamu wa Rais tuliamini amepotezwa kwenye siasa, ila mdogomdogo akavumilia chini ya ushauri wa baba yake pamoja na mzee wa msoga na sasa naamini anatamani asitolewe kwenye ile Wizara. Ameonyesha njia pasipo na njia, kutoka kuwa ofisi ya kukata utepe na...
Back
Top Bottom