MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Makamba alipoteuliwa Waziri ofisi ya Makamu wa Rais tuliamini amepotezwa kwenye siasa, ila mdogomdogo akavumilia chini ya ushauri wa baba yake pamoja na mzee wa msoga na sasa naamini anatamani asitolewe kwenye ile Wizara.
Ameonyesha njia pasipo na njia, kutoka kuwa ofisi ya kukata utepe na kuzindua miradi hadi kuifanya ofisi kuwa sehemu ya mijadala kuhusu kesho ya Taifa letu hasa katika mazingira.
Nimwombe aangalie na achukue taadhari kwenye agenda ya mifuko ya plastiki maana wasiomtakia mema na wenye wivu wanasubiri atoe katazo la mifuko ya plastiki ndipo waje wasitishe katazo hilo kwani ni wazi bado mifuko mbadala hakuna. Ajiwekee mkakati wa muda mrefu naamini atafanikiwa ila akikimbilia kutafuta legacy mikakati yake itafukiwa ardhini na ataambulia fedhea......usajili wa simu