Search results

  1. miminimama

    Mwijaku kawazidi PhD holders?

    Unaweza kuwa sahihi sababu hii nyumba madalali wameipost wanatafuta wapangaji.
  2. miminimama

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Mtu anayetoka hapo anaenda kurasini apite wapi? Azunguke kinyerezi tabata au wapi? Ile njia ya vingunguti ndani ndani inatokea majani ya chai na vingunguti relini inapitika?
  3. miminimama

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Habari wataalam. Kwa tulioko dar naombeni mniambie natokea pugu nipitie njia gani kesho ili nifike ofisi ya uhamiaji kurasini? Njia za kurasini zinapitika? Au nipite chocho gani nisikwame njiani? Si mnajua hizi mvua zinaleta changamoto Mind you nina passo namba [emoji16]
  4. miminimama

    Naomba kujuzwa haya kuhusu leseni ya biashara

    Kuwa na leseni na vibali vyote kwenye biashara ni muhimu sana na lazima. Biashara haiwezi kukua kwa kufanya biashara kinyemela.
  5. miminimama

    Dulla kaachwa na Zai 🤣🤣🤣🤣

    Jamani. Asa Zai ana uclassic gani?
  6. miminimama

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Njia ya ferry kigamboni hakuna ajali iliyotoke usiku huu?
  7. miminimama

    Nini faida ya manyoya katika dashboard?

    Hapa dar wapi nitapata wanaposhonea vizuri kava za ngozi?
  8. miminimama

    Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Ahsante. Kweli naona key moja haifunction kabisa. Hizi battery zinauzwa sh ngapi?
  9. miminimama

    Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Mimi yangu kuna alama ya ufunguo kwa dash board. Kuna shida?
  10. miminimama

    Kwanini gari yako ikiwa imepigwa rangi mara ya pili inakuwa ngumu kuuzika?

    Mimi ilipata ajali. Ilibiduka juu chini. Nimepiga rangi garage bubu chini ya mwembe na nikaiuza siku moja. Nadhani inategemea na aina ya gari na demand yake sokoni. Kuna magari ni open cheque.
  11. miminimama

    Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Rumion

    Mkuu fafanua hapa. Sijakupata vizuri
  12. miminimama

    Ogopa hii kauli kwa wafanyabiashara wanaosema bidhaa ni used UK na Dubai

    Inakuwaje unanunua simu used? Bora ununue kiswaswadu tu.
  13. miminimama

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Wapi mamaa sakina na papaa maisha.
  14. miminimama

    Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Ulaya uchawi wao wa faida siyo wa kusoteana makalio kama huku kwetu.
Back
Top Bottom