Search results

  1. if cap fits

    Nauza led Tv 32 na simu aina ya Tecno Camon x.

    kwa anaehitaj,ninauza led tv aina ya aborder 32 ,ni full hd ina kioo cha protector ipo na hali nzuri sana kwani ninaitumia mwenyewe,pia nina simu aina ya Tecno Camon X ni mpya na ni nzuri kwa anae fuatilia simu anazijua.nina list zake zote kwa anae hitaji tuwasiliane 0678458422.bei maelewano.
  2. if cap fits

    Sheria inasemaje kuhusu bubu kuendesha gari?

    WanaJF mimi nina rafiki yangu bubu ila ana uwezo wa kuendesha gari zote kubwa kutokana na kukaa yard muda mrefu na anafahamu vizuri sana gari ila sasa ni bubu. Ila anasikia na kuona vzuri,tatizo ni kwamba anaongea kwa ishara tu. Msaada kwa anayejua juu ya hawa wenzetu maana aliniuliza juu ya...
  3. if cap fits

    Kwanini watu ni woga wa kupima UKIMWI?

    Eti wadau tatizo la uoga wa kupima HIV ukimwi ni kwa watu wengi au ni kwa qwachache wenye hofu na afya zaoo!.mana kuna watu hawataki kusikia hii kitu kupima ,nini maoni yako? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom