Search results

  1. R

    Nilimwona Mbongo anakuja na.....

    Ngaseka sana sana, ng'achihiyo. Nimefurahi na kucheka kiluga.
  2. R

    Serikali: Rais wa Zanzibar si Amiri Jeshi wala Mkuu wa Nchi

    ni amiri jeshi wa nchi ya zanzibar. zanzibar ni nchi na hatutakubali hizi propaganda za serikali. zanzibar tuna rais ambaye ndie amiri jeshi wa zanzibar. tunataka zanzibar yetu tuwe huru.
  3. R

    Naomba kuuliza waliofanya interview access bank mwanza wameshaitwa. i.e final interview

    leo wanapiga simu. kuripoti tarehe 23/04/2013 mwanza branch.
  4. R

    Mahakama Kuu yapeleka kesi ya Lwakatare 'chamber court'

    hata wafichefiche vp ukweli utaonekana. Mwingulu na wenzake watajulikana tu na vitu vyao vya kutunga.:rockon:
  5. R

    Naomba kuuliza waliofanya interview access bank mwanza wameshaitwa. i.e final interview

    :A S shade:wakuu naomba updates kwa mwenye taarifa.:nono: walisema baada ya wiki moja watapiga simu au sms. :high5:so naona kimya tu na wiki ndo imeisha wakuu.:rockon:
  6. R

    Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

    pumbavu tu huyu jamaa kalewa tu na vyeo vya kupewa na magamba. statisticaly show that this person is ccm member proven by 99% level of significance.
  7. R

    Tafakari yangu juu ya kauli za Freeman Mbowe.

    haya bhana. mr ngowi umeandika mawazo yako pia ni muhimu kwa watanzania wote. me naunga mkono kwa kauli za mbowe kwani kiongozi imara ni kusimama kwenye malengo yake. so kama hayo hayatatokea ni vema akaachia uenyekiti wa chama na kuwapa wanachama wengine waongoze. peoples powerrrrrrr.
  8. R

    Mgomo wa wahadhiri UDOM wanukia

    ok for your info.
  9. R

    Hali ya Hatari Tandika!!

    lakini si kanisa la kkkt kama ilivyokuwa ikisemwa. wamewaumiza walinzi tu. hizi ni taarifa kutoka kwa mchungaji wa kkkt yombo.
  10. R

    Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

    idea ya mjinga kama hii ya nchemba wala haina effect kwa m4c. cdm tumpuuze tu
  11. R

    Access Bank wameita?

    bado sijaitwa mkuu, tuweke subira
  12. R

    PWC Job interview

    Thanks von
  13. R

    Interview

    we umekuwa wa ngapi, ni hiyo ya barclays nn?
  14. R

    Interview ktk Jeshi la Magereza Tanzania.

    cjui, ukijua tujuze mkuu
  15. R

    Access bank interview

    kweli mkuu, na hata mimi nimetumiwa sms sasa mdau nami nilituma kwenye hiyo mambo
  16. R

    Access bank interview

    ni hizi micro loan officer or?
  17. R

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    tunachezewa rafu na haya magamba jamani,
  18. R

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    sorry JF members, hii hukumu inatolewa mahakama gani
  19. R

    Dr Kitila Mkumbo aing'arisha CHADEMA vyuo vikuu

    M4C at work, hongera Dr.
  20. R

    Makundi yenye dalili kujitokeza ndani ya CHADEMA

    sure angalizo lako ni zuri, inabidi tuwe na uwazi ktk mambo yote ya kupata wagombea na viongozi wazalendo na waadilifu
Back
Top Bottom