Vigezo muhimu
- Muwe katika kikundi cha watu 5 waaminifu
- Kila mtu lazima awe na namba za nida
- Umri ni kuanzia miaka 18-35 kama ni vijana (me) na kwa wanawake hakuna kigezo cha umri
- Mtaenda halmashauri kusajili kikundi chenu gharama ni 5k
- Mtapewa katiba humo kuna maelekezo ya...
Nafanya kazi na vijana wawili wa dini hiyo mwaka wa 5 huu hatujawahi kuonana lakini kazi inaenda fresh tu
Kazi yangu ni kuwafungia mizigo na kuwatumia, mauzo wanafanya wao na hela yangu wananitumia kwa uaminifu mkubwa tu
Huko kwingine nilishapigwa sana [emoji2][emoji2] uaminifu ni zero
Muuzaji anatakiwa kuwa na uweledi wa kutosha juu ya kile anachokiuza kwa mteja...mfano wewe unauza handbags unatakiwa kuwafundisha wafuasi wako namna ya kutambua handbags original na fake...hapa utawaaminisha wateja wako kuwa una utaalam katika eneo lako hivyo wengi wataamua kutoa oda au kununua...
Umemaliza kila kitu mkuu, wanunuzi wengi mtandaoni hawapendi gharama za ziada tofauti na bei anayonunulia bidhaa zake, hiyo mbinu inaitwa DECOY PRICING...
Tunashauriwa tuandike kwa kushawishi hadhira, yaani mtu asichoke kusoma makala yako.
Naomba key points za kuzingatia wakati unaandika nakala (post) za mtandaoni ili zipate engagement kubwa...Nitashukuru sana
Angalia kitu unachopromote, kuna mambo ya copyright issues, na kama tangazo lako linaleta ubaguzi wowote,au lisilo na maadi mazuri kwa jamii yako inaweza kukataliwa...
Ukiwa na instagram business account unakuwa umeifanya biashara yako ionekane kwa watu unaowataka wewe, sasa inakubidhi uandae contents kwenye eneo lako zitakazowashawishi hao watu wakufuate na kusave hizo contents ulipost kwenye page yako...insta siku hizi wanaangalia post zenye saves nyingi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.