SoC01 Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni

Stories of Change - 2021 Competition

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,448
2,112
Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati ukiwatupa mkono. katika makala hii tutatalii ni kwavipi mwalimu au mtu mwenye ujuzi fulani anaweza kujiajiri kupitia kufundisha kupitia TEHAMA.

Ufundishaji wa mtandaoni Teaching Online, Ni mchakato mzima wa kuandaa na kutoa maudhui yenye lengo la kueneza maarifa kwa mtu au watu kwa njia ya mtandao.

Kufundisha mtandaoni ni miongoni mwa njia za kujiingizia kipato mtandaoni. Sio lazima uwe umesoma digrii ya ualimu ndipo ufundishe mtandaoni, bali pia unaweza kufundisha kile ulicho na ujuzi nacho kwamfano unaweza kufundisha lugha, mapishi, na mengineo mradi tu unauelewa nacho.

Mambo ambayo unaweza kufundisha mtandaoni
Lugha, biashara, muziki, mapishi, mazoezi, afya, Masuala ya kompyuta, na mengineo. Ufundishaji wa mtandaoni tunaweza kuugawa katika makundi mawili ambayo ni,
  • Kufungua darasa mtandaoni (online classes) hapa unaweza kumfundisha mwanafunzi mmoja mmoja au hata kikundi.
  • Kuanzisha kozi mtandaoni (online course), - kufundisha wanafunzi kama sehemu ya kozi mtandaoni.

    Kuanzisha darasa mtandaoni.
    Kuanzisha darasa mtandaoni hauhitaji kuwa na vitu vingi hivi ni baadhi ya ambavyo unalazimika kuwa navyo,
  • Vifaa. Ili uweze kuanzisha darasa mtandaoni itakubidi kuwa na vifaa kama vile tarakilishi/ komyuta, mtandao wa internet ulio imara, phoni za masikioni na kamera ikibidi.
  • Software. Nilazima uchague soft ware ambayo utafungulia darasa, hii itakuwezesha kufanya darasa, (web conferencing platiform) miongoni mwa software maarufu kwaajili ya kuanzisha darasa mtandaoni ni
    Skype.
    Mtandao huu huruhusu mawasiliano ya mtu moja na mwingine kupitia video bila malipo na kwa urahisi hivyo unaweza kuutumia kufundishia. Vilevile skype huruhusu mikutano ya video pamoja na akaunti za malipo, unachopaswa kufanya ni kutafuta wanafunzi wa somo lako, kukusanya malipo na kuandaa darasa kwa kufungua akaunti ya skype
ZOOM
Huu ni miongoni mwa mitandao maarufu ya kuandaa mikutano mtandaoni kwa njia ya video, simu, na maandishi. Zoom huruhusu mawasiliano ya watu zaidi ya wawili, kwa dakika zaidi ya 40 bure. Kufungua akaunti ya zoom ni bure kwaajili ya mtu mmoja mmoja na ni malipo kwaajili ya biashara.

Je kuna faida na hasara gani unapofundisha mtandaoni?
Tukianza na upande wa faida ufundishaji wa mtandaoni, kwanza ni njia mojawapo ya kujiajiri kwa kufungungua darasa lako bila kuhitaji mtaji mkubwa, pili ni njia nzuri ya kukwepa maambukizi na majanga kwani haiwakutanishi mwalimu na mwanafunzi ana kwa ana, tatu unaweza kumfundisha mwanafunzi aliyesehemu yeyote na nne, haina ukomo wa mapato.

Pamoja na faida hizo ufundishaji wa mtandaoni huweza kukubwa na changamoto kama, ugumu wa njia za malipo kwa baadhi ya nchi, ukosefu wa intarnet imara na ni njia ngumu kufundishia watu wenye matatizo ya uoni au kusikia. Muhimu, mwalimu hakikisha unajiandaa vyema, kutafuta mazingira yenye utulivu, intarneti imara pamoja na matumizi sahihi ya lugha ili darasa lako liweze kwenda sawa. Pia hakikisha hutozi kiwango kikubwa sana cha malipo kwaajili ya darasa lako.

Kuanzisha kozi ya mtandaoni.
Hii ni njia bora sana ya kufundisha mtandaoni kwani mwalimu huweza kuwa na wanafunzi wengi sana kwaajili ya kozi yake.

Kama ilivyo kwa uanzishaji wa darasa mtandaoni, uanzishaji wa kozi mtandaoni pia huhitaji vifaa kama vile, kompyuta, phoni, internet ya uhakika pamoja na malighafi ya ufundishaji. Kwa kutumia vifaa hivyo unaweza kutengeneza maudhui ya masomo mbalimbali katika maumbo ya video, maandishi au sauti. Kumbuka kuwa maudhui yaliyo katika mfumo wa video na sauti huwavutia wanafunzi zaidi.
  • Software, baada ya kuandaa maudhui yako yakufundisha unapaswa kutafuta software nzuri tya kufundishia, soft ware nyingi zitakuruhusu kufungua akaunti, kupakia kozi yako pamoja na kupanga bei ya kozi yako, na baada ya hapo wao hukata asilimia fulani kama malipo ya mtandao huo. Baadhi ya software hizo ni;
  • Udemy, Hii ni miongoni mwa tovuti maarufu ya kuanzisha na kuuzia kozi mbvalimbali mtandaoni, mtandao huu umeripoti kuwa na wanafunzi zaidi ya milioni 12. Vilevile Udemy hukata asilimia fulani kwa kila kozi yako iliyouzika kwaajili ya malipo. Malipo yaliyobaki ni kwaajili ya mwanzishaji wa kozi napengine wabia (affiliates).

udemy.jpg

UDEMY ; PICHA NA MTANDAO

  • JoomIaLMS
  • Huu ni mtandao wa lugha nyingi kwaajili ya kutengeneza kozi mtandaoni, mtandao huu huwapa watengenezaji kwa kozi msaada wa kutengeneza kozi kwa maumbo mbalimbali, kuziongoza na namna ya kuziboresha. Vilevile mtengenezaji wa kozi anaweza kuumba maswali mbalimbali na michezo ya maswali. Kupitia mtandao huu unaweza kuwatumiua wafuatiliaji wako ujumbe, taarifa, kuona kalenda, kutoa matangazo na mfumo unaowezesha malipo ya moja kwa moja. Mtandao huu utakupa majaribio ya siku 30 bure baada ya hapo utaanza kulipa ili uweze kuuza kozi zako.
    SkillShare
    Platifomu hii huhosti kozi za mtandaoni na kukuwezesha wewe kupata vifaa vya utengenezaji wa kozi yako. Unapopakia kozi yako uanpewa uwezo wa kufikia chaneli yako na kuanza ku jamiiana na wanafunzi. Utalipwa kulinganana idadi ya wanafunzi waliohudhuria darasa lako.
    Faida za kufundisha kozi ya mtandaoni (advantage of teaching online courses)
  • Malipo yasiyo na kikomo, hii inamaana kuwa utalipwa muda wote. Unaweza usiwe mtandaoni lakini kozi yako ipo mtandaoni na kuendelea kukuingizia kipato, kwa kadri wanafunzi wanavyoihitaji.
  • Utapata wanafunzi wengi, kutokana na kuwa dunia yote inaweza kufikia intaneti niwazi kuwa utawafikia wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali duniani.-unapata muda wa kutosha wakujianda
  • ni njia inayofaa sana kufundishia hasa katika kipindi cha majanga ya kiulimwengu.
  • Pamoja na faida hizo nilazima uwekeze katika maeneo haya mawili ili uweze kunufaika kikamilifu.
    Uwekezaji wa awali,
  • Wakati unapotaka kuanza kufundisha kozi mtandaoni nilazima ujiandae ili kufanya uwekezaji katika maeneo haya;
  • Utengenezaji wa kozi- ununuaji wa vifaa vya kuaanda kozi, kutengeneza maudhui ya kozi, na kuipakia mtandaoni
  • Software, baadhi ya soft ware ni zakulipia ili uweze kuuzia kozi zako
  • Kutangaza kozi yako- kumbuka hii ni biashara hivyo unapaswa kutenga walau bajeti ya wastani ili kutangaza kozi yako ili iwafikie wateja wengi zaidi kuliko wale ambao ungeweza kuwafikia bila kutangaza.
    Uwekezaji wa muda,
    Huu ni uwekezaji muhimu sana katika ufundishaji wa kozi mtandaoni, kwanza nilazima utumie muda wa kutosha katika kutengeneza maudhui bora, kutafiti ili kujua ni kozi zipi zinahitajika sana, na kutafuta soft ware nzuri ya kuuzia kozi zako. Kama soft ware inaongozwa na wewe moja kwa moja pia itahitaji ulizni wa kutosha. Kama utazingatia yote kwa umakini unaweza kujiingizia kipato kikubwa sana, kwa mujibu wa Source “masoko ya ufundishaji mtandaoni (E-learng market) unakadiriwa kuwa unazalisha zaidi ya dola za kimarekani Dola bilioni 150 kwa mwaka 2016 na ulitabiriwa kukua kwa zaidi ya asilimia 5% CAGR, kutoka 2017 hadi 2024” vilevile unaweza kutumia majukwaa mengine mtandaoni kufundisha kwa njia ya video , audio, picha au maandishi katika mitandao ya kijamii kama vile whatsapp b arua pepe na kadhalika huku ukikusanya malipo kupitia njia za kidigitali kama vile paypal, webmoney na benki.
 
asante kwa wote mnaoendelea kupiga kura kwaajili ya chapisho hili
 
natumai pengine kuna watu wameanza michakato ya kufundisha mtandaoni. kama ndivyo na kuna changamoto unayokutana nayo iseme tuijadili
 
wadau mmepoa kesho nitaanza kuuliza maswali kuhusiana na chapisho kama lilieleweka vyema
 
wadau teendelee kuwakaribisha wengine wapige kura kwa wingi
 
kama hukufanikiwa kupiga kura uli like peke yake, jinsi ya kupiga kura ni kubofya kitufe kilichoandikwa idadi ya vote kwa mara moja.
 
WADAU MWENYE SWALI?
Tunashauriwa tuandike kwa kushawishi hadhira, yaani mtu asichoke kusoma makala yako.

Naomba key points za kuzingatia wakati unaandika nakala (post) za mtandaoni ili zipate engagement kubwa...Nitashukuru sana
 
Asante kwa swali ndugu, ingawa hujaweka wazi ni content za aina gani lakini suala la engement kwa post yako huweza kuathiriwa na mambo haya -Aina ya maudhui, mfano picha na video huweza kupata zaidi
- Mtindo wa uandishi has a unapomalizia unafungua au kukaribisha Mjadala?

-Ushiriki wako. Yan mtu akiuliza kitu unarespond?
-Mada , kuna mada zinavutia..

-Wakati &kipindi unachopost , hapa tunaongelea mada kuvaana na matukio ya wakati huo.

- Ushiriki wako kwenye maandiko ya wengine nk.

Post yeyote utakayoandika yaweza kuathiriwa na mambo hayo.

Tunapokuja kwenye suala ufundishaji maudhui ili yawavutie wanafunzi ni pamoja na -Uandaaji mzuri
-uhitajikaji wake
-upatikanaji
-Uhalisia na usahihi wa maudhui
-uwepo wa utendaji yani maudhui yanayochochea ushiriki wa mwanafunzi , unaweza kuwa baada ya kila mada kukawa na swali n.k
 
nafikiri nimekujibu ndugu
 
Shukrani mkuu
 
wadau tuendelee kuwakaribisha wengine kusoma chapisho hili
 
nani anaweza kutuambia changamoto unazoweza kukutanana nazo wakati wa kufundisha mtandaoni
 
Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati ukiwatupa mkono. katika makala hii tutatalii ni kwavipi mwalimu au mtu mwenye ujuzi fulani anaweza kujiajiri kupitia kufundisha kupitia TEHAMA.

Ufundishaji wa mtandaoni Teaching Online, Ni mchakato mzima wa kuandaa na kutoa maudhui yenye lengo la kueneza maarifa kwa mtu au watu kwa njia ya mtandao.

Kufundisha mtandaoni ni miongoni mwa njia za kujiingizia kipato mtandaoni. Sio lazima uwe umesoma digrii ya ualimu ndipo ufundishe mtandaoni, bali pia unaweza kufundisha kile ulicho na ujuzi nacho kwamfano unaweza kufundisha lugha, mapishi, na mengineo mradi tu unauelewa nacho.

Mambo ambayo unaweza kufundisha mtandaoni
Lugha, biashara, muziki, mapishi, mazoezi, afya, Masuala ya kompyuta, na mengineo. Ufundishaji wa mtandaoni tunaweza kuugawa katika makundi mawili ambayo ni,
  • Kufungua darasa mtandaoni (online classes) hapa unaweza kumfundisha mwanafunzi mmoja mmoja au hata kikundi.
  • Kuanzisha kozi mtandaoni (online course), - kufundisha wanafunzi kama sehemu ya kozi mtandaoni.

    Kuanzisha darasa mtandaoni.
    Kuanzisha darasa mtandaoni hauhitaji kuwa na vitu vingi hivi ni baadhi ya ambavyo unalazimika kuwa navyo,
  • Vifaa. Ili uweze kuanzisha darasa mtandaoni itakubidi kuwa na vifaa kama vile tarakilishi/ komyuta, mtandao wa internet ulio imara, phoni za masikioni na kamera ikibidi.
  • Software. Nilazima uchague soft ware ambayo utafungulia darasa, hii itakuwezesha kufanya darasa, (web conferencing platiform) miongoni mwa software maarufu kwaajili ya kuanzisha darasa mtandaoni ni
    Skype.
    Mtandao huu huruhusu mawasiliano ya mtu moja na mwingine kupitia video bila malipo na kwa urahisi hivyo unaweza kuutumia kufundishia. Vilevile skype huruhusu mikutano ya video pamoja na akaunti za malipo, unachopaswa kufanya ni kutafuta wanafunzi wa somo lako, kukusanya malipo na kuandaa darasa kwa kufungua akaunti ya skype
ZOOM
Huu ni miongoni mwa mitandao maarufu ya kuandaa mikutano mtandaoni kwa njia ya video, simu, na maandishi. Zoom huruhusu mawasiliano ya watu zaidi ya wawili, kwa dakika zaidi ya 40 bure. Kufungua akaunti ya zoom ni bure kwaajili ya mtu mmoja mmoja na ni malipo kwaajili ya biashara.

Je kuna faida na hasara gani unapofundisha mtandaoni?
Tukianza na upande wa faida ufundishaji wa mtandaoni, kwanza ni njia mojawapo ya kujiajiri kwa kufungungua darasa lako bila kuhitaji mtaji mkubwa, pili ni njia nzuri ya kukwepa maambukizi na majanga kwani haiwakutanishi mwalimu na mwanafunzi ana kwa ana, tatu unaweza kumfundisha mwanafunzi aliyesehemu yeyote na nne, haina ukomo wa mapato.

Pamoja na faida hizo ufundishaji wa mtandaoni huweza kukubwa na changamoto kama, ugumu wa njia za malipo kwa baadhi ya nchi, ukosefu wa intarnet imara na ni njia ngumu kufundishia watu wenye matatizo ya uoni au kusikia. Muhimu, mwalimu hakikisha unajiandaa vyema, kutafuta mazingira yenye utulivu, intarneti imara pamoja na matumizi sahihi ya lugha ili darasa lako liweze kwenda sawa. Pia hakikisha hutozi kiwango kikubwa sana cha malipo kwaajili ya darasa lako.

Kuanzisha kozi ya mtandaoni.
Hii ni njia bora sana ya kufundisha mtandaoni kwani mwalimu huweza kuwa na wanafunzi wengi sana kwaajili ya kozi yake.

Kama ilivyo kwa uanzishaji wa darasa mtandaoni, uanzishaji wa kozi mtandaoni pia huhitaji vifaa kama vile, kompyuta, phoni, internet ya uhakika pamoja na malighafi ya ufundishaji. Kwa kutumia vifaa hivyo unaweza kutengeneza maudhui ya masomo mbalimbali katika maumbo ya video, maandishi au sauti. Kumbuka kuwa maudhui yaliyo katika mfumo wa video na sauti huwavutia wanafunzi zaidi.
  • Software, baada ya kuandaa maudhui yako yakufundisha unapaswa kutafuta software nzuri tya kufundishia, soft ware nyingi zitakuruhusu kufungua akaunti, kupakia kozi yako pamoja na kupanga bei ya kozi yako, na baada ya hapo wao hukata asilimia fulani kama malipo ya mtandao huo. Baadhi ya software hizo ni;
  • Udemy, Hii ni miongoni mwa tovuti maarufu ya kuanzisha na kuuzia kozi mbvalimbali mtandaoni, mtandao huu umeripoti kuwa na wanafunzi zaidi ya milioni 12. Vilevile Udemy hukata asilimia fulani kwa kila kozi yako iliyouzika kwaajili ya malipo. Malipo yaliyobaki ni kwaajili ya mwanzishaji wa kozi napengine wabia (affiliates).

View attachment 1854504

UDEMY ; PICHA NA MTANDAO

  • JoomIaLMS
  • Huu ni mtandao wa lugha nyingi kwaajili ya kutengeneza kozi mtandaoni, mtandao huu huwapa watengenezaji kwa kozi msaada wa kutengeneza kozi kwa maumbo mbalimbali, kuziongoza na namna ya kuziboresha. Vilevile mtengenezaji wa kozi anaweza kuumba maswali mbalimbali na michezo ya maswali. Kupitia mtandao huu unaweza kuwatumiua wafuatiliaji wako ujumbe, taarifa, kuona kalenda, kutoa matangazo na mfumo unaowezesha malipo ya moja kwa moja. Mtandao huu utakupa majaribio ya siku 30 bure baada ya hapo utaanza kulipa ili uweze kuuza kozi zako.
    SkillShare
    Platifomu hii huhosti kozi za mtandaoni na kukuwezesha wewe kupata vifaa vya utengenezaji wa kozi yako. Unapopakia kozi yako uanpewa uwezo wa kufikia chaneli yako na kuanza ku jamiiana na wanafunzi. Utalipwa kulinganana idadi ya wanafunzi waliohudhuria darasa lako.
    Faida za kufundisha kozi ya mtandaoni (advantage of teaching online courses)
  • Malipo yasiyo na kikomo, hii inamaana kuwa utalipwa muda wote. Unaweza usiwe mtandaoni lakini kozi yako ipo mtandaoni na kuendelea kukuingizia kipato, kwa kadri wanafunzi wanavyoihitaji.
  • Utapata wanafunzi wengi, kutokana na kuwa dunia yote inaweza kufikia intaneti niwazi kuwa utawafikia wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali duniani.-unapata muda wa kutosha wakujianda
  • ni njia inayofaa sana kufundishia hasa katika kipindi cha majanga ya kiulimwengu.
  • Pamoja na faida hizo nilazima uwekeze katika maeneo haya mawili ili uweze kunufaika kikamilifu.
    Uwekezaji wa awali,
  • Wakati unapotaka kuanza kufundisha kozi mtandaoni nilazima ujiandae ili kufanya uwekezaji katika maeneo haya;
  • Utengenezaji wa kozi- ununuaji wa vifaa vya kuaanda kozi, kutengeneza maudhui ya kozi, na kuipakia mtandaoni
  • Software, baadhi ya soft ware ni zakulipia ili uweze kuuzia kozi zako
  • Kutangaza kozi yako- kumbuka hii ni biashara hivyo unapaswa kutenga walau bajeti ya wastani ili kutangaza kozi yako ili iwafikie wateja wengi zaidi kuliko wale ambao ungeweza kuwafikia bila kutangaza.
    Uwekezaji wa muda,
    Huu ni uwekezaji muhimu sana katika ufundishaji wa kozi mtandaoni, kwanza nilazima utumie muda wa kutosha katika kutengeneza maudhui bora, kutafiti ili kujua ni kozi zipi zinahitajika sana, na kutafuta soft ware nzuri ya kuuzia kozi zako. Kama soft ware inaongozwa na wewe moja kwa moja pia itahitaji ulizni wa kutosha. Kama utazingatia yote kwa umakini unaweza kujiingizia kipato kikubwa sana, kwa mujibu wa Source “masoko ya ufundishaji mtandaoni (E-learng market) unakadiriwa kuwa unazalisha zaidi ya dola za kimarekani Dola bilioni 150 kwa mwaka 2016 na ulitabiriwa kukua kwa zaidi ya asilimia 5% CAGR, kutoka 2017 hadi 2024” vilevile unaweza kutumia majukwaa mengine mtandaoni kufundisha kwa njia ya video , audio, picha au maandishi katika mitandao ya kijamii kama vile whatsapp b arua pepe na kadhalika huku ukikusanya malipo kupitia njia za kidigitali kama vile paypal, webmoney na benki.

noma sana
 
Back
Top Bottom