Search results

  1. J

    Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

    Hii sio changamoto kwa palestina walozoea mateso ya Israel kwa miaka ya umri wao
  2. J

    Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

    Sisi wanaume tunaoa kupata femilia na michepuko tunapata fraha siku kwa mke inapokosekana Saut imetoshelezaaaa?
  3. J

    Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

    Km ww unavyowashwa na pilipili ya Shamba
  4. J

    Kwanini 'military takeovers' zimerudi kwa kasi Afrika?

    Tatzo kubwa ni kushindwa tenganisha Siasa na Serikali ktk uendeshaji wa nchi
  5. J

    Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

    Nadhani ni tatizo la malezi utotoni, watoto wengi hawana uhuru wa kuchallenge lolote katka femilia (Wajeuri). Pia maofisini viongozi wabaya awapendi watendaji so called Wajuaji. Istoshe viongozi wa Dili wanaweka hao wepes ili wanakua watiifu kwa Kila agizo ama ombi la mkuu. So wanaenjoy sana
  6. J

    Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

    Kwnn wasiwekeze Mombasa Kisha Dar wakabiziwe TEC ili tuone ufanisi bad miaka kadhaa?
  7. J

    Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

    Faiza anatenda busara manake kujibizana na wajinga ni kujishishia eshima pia
  8. J

    Hii kasi ya wazanzibar kumiliki ardhi ya Morogoro inatisha sasa

    Leta lalamiko Mahkamani tafazal
  9. J

    Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    Punda haendagi Ila Kwa marungu na mabom ya muwasho. Songa Wakili msomi
  10. J

    Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

    Mi naisi alijua tunampenda kwa mema mengi anayotutendea kumbe tuko nae tofauti na ilikua tunamtaftia point tumzoofishe. Anapaswa kubadilika atende atakalo analoona ni sawa. Sisi atujui tulitakalo, Wala atuna sababu ya kupenda au kutopenda. Mama aendelee na kazi tu
Back
Top Bottom