Search results

  1. Bpk

    Ipi camera nzuri?

    Wataalam wa camera kati ya izi camera mbili Nikon d 7200 Na Nikon d 800 Ipi ni nzuri kwa picha na video.
  2. Bpk

    Ulaji wa mafuta Toyota Vitz CC 990

    Nina Vitz ya mwaka 2000 yenye CC 990 nilichukua kwa mtu ilikuwa inatumia lita 1 ya mafuta kwa KM 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikuwa inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa KM 8. Wakati kwa watu wengine wenye Vitz kama yangu ni 1lita kwa KM 12 kwenda juu...
  3. Bpk

    Ulaji wa mafuta Toyota Vitz

    Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
  4. Bpk

    Mwenye vitz Rs ya cc 1290 atupe mrejesho wa mafuta km ngapi kwa lita

    Mwenye vitz Rs ya cc 1290 atupe mrejesho wa mafuta km ngapi kwa lita
  5. Bpk

    Bachelor ipi ni nzuri kwa kujiajiri kati ya izi

    Bachelor of business administration 1. in management 2.In account 3.In market 4.In office administration and human resources management Pia ipi ni nyepesi kwa kusoma isiyo na mahesabu mengi
  6. Bpk

    Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1? Lita 1 kwa KM ngapi?

    Mwenye uzoefu msaada nataka ninunue 1 kati ya hizi kwa round za mjini pia na kubana matumizi. Ipi itafaa kati ya hizi gari; Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1, lita 1 kwa KM ngapi?
  7. Bpk

    Mimi nimesoma diploma ya information technology (IT) nataka nisome degree ipi itanifaa kati ya izi lengo langu nikujiajiri.

    1.Bachelor of business administration in acount 2.Bachelor of business administration in market 3.Bachelor of Business administration in management
  8. Bpk

    ipi ni course nzuri waweza kujiajiri.

    1.Bachelor of business administration in acount 2.Bachelor of business administration in market 3.Bachelor of Business administration in management
Back
Top Bottom