Search results

  1. Wikulwe

    NEW WEBSITE

    Asante mkuu,Joblee nimekuelewa Sana
  2. Wikulwe

    NEW WEBSITE

    Mapungufu yapo , ndo maana nimeamua kuuliza kwanza kuwa naweza nami ni publish forum yangu kwa nchi za Masha riki hizi,
  3. Wikulwe

    NEW WEBSITE

    Habari wakuu! nimeamua kujaribu kutengeneza Website [Forum] yangu, sasa nataka ni publish iwe inatumika hapa Tanzania na East Africa pia, je nitakuwa nimekiuka mashart kuwaiga hawa walio tangulia kutengeneza, mfano Forum nyingine za East Africa pamoja na Jf?, Mawazo yenu wakuu Forum yenyewe ina...
  4. Wikulwe

    Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

    Upo sahihi mkuu, but nataka nikiacha moja kwa moja naamkia kazini kwangu bila kupotenza time
  5. Wikulwe

    Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

    Nataka nianze na m- pesa, Togo pesa , sasa nikienda kule walidai TIN number ndo nikawa sina, ila leseni ninayo.
  6. Wikulwe

    Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

    Kwa hyo unanishauri nianze na BRELLA kwanza kusajiri ka jina kangu?
  7. Wikulwe

    Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

    Asante sana mkuu kwa ushauri,
  8. Wikulwe

    Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

    Nataka niache kazi, nijajiri mwenyewe mkuu
  9. Wikulwe

    Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

    Habari wakuu! Sikuku inaendaje? Jamani nilikuwa naomba msada namna ya kuomba TIN number kutoka TRA kwa njia ya mtandaoni, yani online registration for TIN , Nasema hivi kwa sababu kuna baadhi ya vipengele vimenishinda kujaza, Kwa yule mwenye uzeufu, au kwa yule aliye wahi kuomba kwa online...
  10. Wikulwe

    Je, ni kweli wenye damu kundi O huwa hawana risk kubwa ya magonjwa ya maambukizi? Hasa ya magonjwa zinaa?

    Sidhani kama kuna uhusiano wa mambo hayo, Mimi tangu nizaliwe sijawahi ugua malaria, typhoid, U.T.I sijui kaswende wala gono, Niliwahi ugua tuhh Amiba ila nikajigundua kuwa ni ilikuwa uzembe wangu kwa kuwa nilikuwa nakata kucha kwa kutumia meno, tangu niache kufanya hivyo na mshukulu ALLAH...
  11. Wikulwe

    Hivi mtu anaweza kuwa na UTI zaidi ya 500?

    Hata elfu moja huwa inafika mkuu,
  12. Wikulwe

    Zijue Gari 10 Bora Na Mpya Zitakazoingia Sokoni Mwaka 2019 (PICHA)

    Ahaa hiyo ngoma nami nimeikubali aise
  13. Wikulwe

    'True caller' app nzuri but kuwa makini nayo

    Hii app zuri Sana'a, mtu akipiga namba ngeni, sipokei kwanza baada ya ile simu kukata italeta jina lake halisi, ambalo anatumia mtaani kwao, kwa hiyo ukumwambia hello Fulani , lazima ashangae kwanza umejuaje jina language. Inafaa kwa sisi tunaodaiwa sehemu nyingi.
  14. Wikulwe

    Nina tatizo la infertility (kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto)

    Kuna kitu nataka nishee na hapo watalaam walio pima, walipima tuhh hyo sperm analysis au pamoja na Kipimo cha gram stain? Nasema hivi kwa sababu moja ama mbili, mtu/watu wakiwa na tatizo la sperm, lazima vipimo viwili vipimwe, moja ni microscopally pamoja na Gram stain. Gram stain hii husaidia...
  15. Wikulwe

    Namna ya ku extract Zip file.

    Sawa mkuu baada ya kuextract step za pale namna ya kuanza kutumia ili nitengenze sasa site yangu nafanyaje?
  16. Wikulwe

    Uchafu kwenye uti wa mgongo

    Mwambie akapime kipimo cha CSF hospital anaweza pata majibu sahihi,
  17. Wikulwe

    Namna ya ku extract Zip file.

    Tunaomba mautundu yenu wakuu, nasi tujue angalau mawili matatu
Back
Top Bottom