Search results

  1. mangyi

    Nawaza kupita na huyu mrembo

    Wakuu naamini mu wazima na mnaendelea vizuri na TOZO. Mimi nimekutana sana na visa vya kupendwa na wake za watu kimasihara sihara mpaka nahisi ni pepo. Wadada single nawapata kwa nadra sana. Ila kati ya hao wote kuna huyu mmoja ambae alitokea kuzama zaidi. Huyu binti ni mrembo haswa picha...
  2. mangyi

    Typing errors za smartphones

    Salamuni wakuu. Ase kuna kitu flani huwa kinatokea sana kwenye hizi smartphones zetu na sometimes kinapelekea mtu kujikuta anajicheka, sometimes kupelekea kuomba msamaha kwa maneno mengi ili ueleweke na uliyemtumia ujumbe na sometimes inapelekea pia wewe kushushwa heshima, n.k. Hii kitu ni...
  3. mangyi

    Mkokoteni kuvuta farasi

    Kuna issue ya muhimu sana spika kaiongea leo ambayo alinong'onezwa na wachina kwa isue ya bandari na reli. Kwamba ungetangulia ujenz wa bandari maana reli zitategemea mizigo kutoka huko. Issue hii nimeiona iko sawa kwa upande wangu. Ila pia kuna jambo nimelifikiria kwa mda sana kuhusu UCHUMI WA...
Back
Top Bottom