Search results

  1. Kingthe

    Treadmill body for sale

    Inakila moter na kila kitu kasoro card yakununua mpya bei 1.2 m. 0652595942.
  2. Kingthe

    INAUZWA Nauza mzani wangu wa mawe

    Nauza mzani wangu ,used ila uko na hali nzuri . Upo dukani keko dilers Price 85,000 tu. Nicheki 0748008079 0652595942
  3. Kingthe

    INAUZWA Fridge & frizer for sale

    Nauza fridge kubwa ya milango miwili ipo keko dilers,inafanya kazi vizuri.bei yake 260,000. Pia kuna frizer ndogo iko poa pia inafanya kazi vizuri imezungushiwa copper ndani .rangi yake iko poa. Hii ipo gongolamboto.(home). Bei yake 160,000 tu. Nicheki.0748008079
  4. Kingthe

    SOLD: Nauza frizer used

    Nauza frizer yangu ndogo inagangisha vizuri Ilisukwa upya ndani . Bei 170000 tu. 0748008079 SOLD OUT
  5. Kingthe

    SOLD: Nauza Laptop yangu Lenovo

    Habari nauza laptop yangu iko na hali zuri haina tatizo lolote Ina Ram 4 GB Charge inakaa sana zaid ya masaa matatu Intel 1:10 ghz No:0748008079 Price Tsh 250000 SOLD, SOLD, SOLD
  6. Kingthe

    Natafuta soko la vitunguu maji

    Mwaka huu nilijaribu.kulima vitunguu maji mkoani Iringa.vimefikia hatua ya kuvunwa sasa nahitaji mnunuzi atayeweza nunua vyote shambani kwa makadirio vinaweza toka gunia 12 mpaka 15 tuu SOLD, SOLD, SOLD
  7. Kingthe

    INAUZWA Nauza Printer na Laptop

    Nauza printer ndogo ya canon pamoja na laptop window surface 8 pro processor i 5 core,4Gb Ram,memory 128 ina crack kidogo juu pembeni mwa kioo lakini inafanya kazi vizuri kabisa.bei tsh230,000 printer bei 120,000 vinapatikana Gongo la Mboto Dar es Salaam. call: 0652595942.
  8. Kingthe

    Naomba conection mwenye gari ya manual kubwa, nahitaji kupata uzoefu

    Habari za majukumu ndugu zanguni, Kama kichwa kinavyojieleza, naomba conection walau nusu saa au chini ya nusu saa kuendesha gari ya manual kubwa kama coaster au tata walau wiki mja tuu ili nipate uzoefu niweze kuongeza daraja la lesseni yangu NIT. Ikiwa kunagharama za kuchangia nitakua tayari...
  9. Kingthe

    Ushauri: Ni biashara gani nifanye kati ya kufungua duka la mahitaji madogomadogo(rejareja) na kununua bajaji used

    Wakuu poleni na majukumu, niende moja kwa moja kwenye mada, naombeni ushauri juu ya kufungua duka la mahitaji madogomadogo na kununua bajaji used kwa mtu kwa kuwa sina pesa ya kununua mpya niendeshe mwenyewe. Sina uzoefu na biashara ya bajaji lakini duka nilishafanya miaka ya nyuma kidogo...
  10. Kingthe

    Nauza kitanda na meza

    Kitanda 5/6na godoro lake Dodoma inchi 8, meza mbili za vioo, vinauzwa.kitanda na godoro tsh 220,000. Meza zote 90,000. Vinapatikana Gongolamboto kituo kipya. Simu.0652595942
  11. Kingthe

    Nauza vifaa vifaa vya kukaangia chips kwa MTU anaehitaji kuaza biashara ya chips.

    Nauza jiko kubwa LA chips,karai,jiko mishikaki,kabati unaweza tumia kwaajili ya chips au vitanwa,meza ,viti.vitu vyote vinapatikana gongolamboto kwa diwani.mawasiliano 0656984940 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kingthe

    Habar zenu mabibi na mabwana

    Mimi nimgeni humu. Japo thio thaaana.
Back
Top Bottom