Nauza vifaa vifaa vya kukaangia chips kwa MTU anaehitaji kuaza biashara ya chips.

Kingthe

Senior Member
May 12, 2018
105
90
Nauza jiko kubwa LA chips,karai,jiko mishikaki,kabati unaweza tumia kwaajili ya chips au vitanwa,meza ,viti.vitu vyote vinapatikana gongolamboto kwa diwani.mawasiliano 0656984940
IMG_20190415_132816.jpeg
IMG_20190415_132541.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli niliwahi kuuza chips Banana lakini nilikuwa dei waka, ila kama nitashawishika na kupata eneo zuri naweza kurudi tena. Sasa wewe ni Mmiliki au ndio ulikuwa ndio mtendaji hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom