Ulikuwa ni usanii tu,ili aonekane kuwa hana nia ya kutaka aongezewe muda,na ANAWACHUKIA wanaotaka aongezewe muda. Kama angekuwa halitaki hilo,angemkemea Spika Ndugai, alivyosema, "ATAKE ASITAKE,ATAONGEZEWA MUDA"
Naona umesharudi likizo, baada ya "KUFURUSHWA" kule South! Jamaa walipumzika kidogo! Machungu yamepungua, sasa unaendeleza ile kazi yako ya "kupambana" na Simba!
Na mngeshinda nyie UTOPOLO, sina shaka mngekodi hata ndege kuzungusha BANGO Nchi nzima kutangaza "KUMKANDA " Mamelod ! Kukong'otwa kwenu, kumeepushwa mengi! Tusingepumua na NYUZI mpya za kusifu na kuponda upande wa pili za akina Labani og kila baada ya nusu saa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.