Search results

  1. H

    Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

    Bado mchanga sana kisiasa, asubiri awamu ya Kapten Lowasa imalizike kama Mungu akipenda ndo afikirie kugombea urais. Tanzania siyo shamba la bibi kwamba kila mmoja anaweza kuwa Rais. Mtazamo wangu na kwa hakika kama vijana tukitaka kujikomboa rais pekee mwaka 2015 ni Mh. Edward Lowasa.
  2. H

    CCM INAYOKUFA MKOMBOZI WAKE NI MH. lOWASA

    Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha CCM kwamba anayeweza kukinusuru Chama katika chaguzi zijazo ni Mh. Lowasa. Nayasema haya kwa kuwa chama kimekosa mtendaji na ndani ya chama mtendaji anayeonekana na kukubaliwa na wengi ni Lowasa. Ikumbukwe kuwa zao la vijana waliomaliza vyuo vikuu Tanzania...
  3. H

    Kingunge: Sioni kama ni kosa kwa mwanachama (wa CCM) kuonyesha nia ya urais

    Mh. Kingunge yupo sahihi sana, sadhani kama kuna mtu anayezuiwa kuonyesha au kuwaza anachokifikiri. Tusipende kulaumu sana. Mh. Lowasa hatoi rushwa kama wanavyosema, mbona wapo wengi wanaosaidia jamii hawaambiwi kama wanatoa rushwa. Upendo watu waliojijengea kwake ndo unafanya wamtafute ili...
  4. H

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Wewe ni limbukeni wa mambo, huna tofauti na Kawambwa, Sumaye na Membe
  5. H

    Mtazamo wangu kwa mh. Edward lowasa

    Utajiri wa Lowasa ni wa muda tokea kwenye familia, hatakuwa na muda wa kutafuta biashara za familia kama wengine bali kuwakomboa wananchi, ata akina Sumaye, Sitta na Kina Membe ni matajiri wakubwa sana ila hawana uthubutu wa kiutendaji, wangewezaje kuona taifa linadidimia bila kumshauri rais...
  6. H

    Mtazamo wangu kwa mh. Edward lowasa

    Naamini kati ya watoto au wanafamilia wako kuna waliosoma shule za kata, au kufaidi mradi wa maji ya kutoka mto nile. Tusiwe wepesi kupingana na uwezo wa utendaji wa Mh. Lowasa.
  7. H

    Mtazamo wangu kwa mh. Edward lowasa

    Napenda kuwatakia watanzania kheri ya mwaka mpya wa 2014. Kwa utafiti mchache ila wa kina juu ya waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowasa nimegundua kuwa, ndiye mtu pekee anayeweza kuleta mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa hapa nchini. Nchi imekuwa ikiyumba kwa mambo hayo matatu, si kwa...
  8. H

    Sita kama kamba ya mgomba ndani ya siasa

    Ni wengi mnafahamu kamba hutumika kufungia au kubebea baadhi ya vitu, ni dhairi kwamba kuna vitu vizito au vigumu ambavyo huwezi kuvifunga au kubeba kwa kutumia kwamba ya mgomba. Vinahitaji kamba ngumu na makini kama katani, manila na vingine ata waya. Namfananisha sitta na kamba ya mgomba kwa...
  9. H

    Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

    Simshangai Nape Nnauye kwa sababu elimu yake na mawazo yake yameshikiliwa na watu. Hana maamuzi kama yeye, afikirii kama kijana na wala hana uzalendo kwa taifa. Tatizo ni kambi na umaskin uliokithiri.
  10. H

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Kikwete hajui alifanyalo na kamwe hajutii kauli zake, ni kazi ya Mungu kamuumba mja wake ila hakumpa uwezo wa kufikiri yajayo. Mambo ya muhimu hayaoni anashupalia upuuzi na uongo. Mwisho wake ni mbaya sana.
  11. H

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Wakati mwingine lazima busara ichukue mkondo wake, Pinda hajawahi kuwa chaguo la Kikwete ni situation ilifanya akafika hapo, wataendelea kumkashifu sana na kwa sababu hatumii busara ataendelea kuwatumikia tu, Mtu anayejiheshimu na kuheshimu utu wake lazima ange step down kuanzia juzi. Hakuna...
  12. H

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Wakati mwingine lazima busara ichukue mkondo wake, Pinda hajawahi kuwa chaguo la Kikwete ni situation ilifanya akafika hapo, wataendelea kumkashifu sana na kwa sababu hatumii busara ataendelea kuwatumikia tu, Mtu anayejiheshimu na kuheshimu utu wake lazima ange step down kuanzia juzi. Hakuna...
  13. H

    Baraza la mawaziri linalochimbia nchi kaburi

    Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitizama mfumo mzima wa uongozi katika baraza la mawaziri Tanzania. Mawaziri wamesahau kabisa wajibu wao, wamejikita zaidi katika siasa mbovu za makundi na kufikiria zaidi uchaguzi mkuu ujao. Huo ni ufinyu wa mawazo unao lichimbia Taifa kaburi. Mawaziri watambue...
  14. H

    Bunge linapokosa sauti ya pamoja

    Napenda kuwapongeza wabunge wote walio na moyo thabiti wa kutetea na kupigania maslai ya Taifa. Ingekuwa vizuri kama wabunge wote wangefikia mahali wakawa na sauti moja na kupiga kura ya kutokumuamini mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali na katibu mkuu kiongozi ili kumshinikiza rais kuwaondoa...
  15. H

    Kwa style hii kila mtu ale urefu wa kamba yake

    Kwa mfumo wa uongozi wa Tanzania kwa sasa nashauri kila mtu ale urefu wa kamba yake, kwasababu wote wanaotuhumiwa kwa rushwa wanasafishwa na serikal. Ni bora serikali ikahalalisha rushwa katika sehemu za kazi ili tujue moja, tumechoka kusubiri uchunguzi wa CAG ambao haujawahi kutoa ukweli
  16. H

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Napenda kurudia kauli yangu ya awali ya kutaka Mizengo Pinda ajiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mkuu, hakuna jambo ata moja ambalo Pinda ameweza kusimamia zaidi ya majonzi ya uongo mbele za macho ya wananchi. Ni matukio mengi ambayo yanatokea yanayopelekea kuitwa kwa waziri mkuu, Pinda afikapo...
  17. H

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Sikupenda kuamini kama haya yangetokea lakini nalazimika kusema kuwa ukombozi wa waTanzania upo mikononi mwetu, hawa wazee wameamua kulindana na kuacha watanzania wafe njaa. Tujitaidi kutoa maoni yetu katika mchakato wa katiba ili tuwe na katiba huru itakayotuwezesha kuleta mabadiliko...
  18. H

    Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara

    Hakuna ukada wowote wa huyu mama, hana tofauti na kina Sophia Simba, kwanini watu watafute uongozi kwa style hii?
  19. H

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Wakati mwingine lazima tuweke itikadi za kidini na kichama pembeni kwa maslai ya taifa, tusiwe malimbukeni wa mambo, kila mtu anajua kuwa uongozi uliopo ni lelemama, kila aliye na nafasi anafanya atakalo kwa nafasi yake bila ya kuangalia wenzake. Kama kweli Utukufu unakuja kinafki basi na...
  20. H

    Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

    Kukichoma moto siyo suluhisho la tatizo muhimu wajaribu kukaa chini na kujadili njia ya kutatua tatizo na sababu zilizopelekea hapo. Tukisema vichomwe moto tutafika wapi? Matatizo hayatatuliwi kwa gadhabu bali utulivu na makubaliano ya pande mbili. Huyu anayeitwa rais wa nchi yupo wapi? Atoe...
Back
Top Bottom