Search results

  1. SUTE

    Uzi wenye kurasa nyingi

    Nadhani hamjambo ndio maana mpo jf sasa, mimi sijambo lakini kama afya yako haiko vizuri pole, Nimejikuta napenda kusoma comment tu wakati mwingine bila kuchangia chochote kwa sababu hiyo, ki ukweli kuna nyuzi nyingi tu zinaelimisha na zingine kufurahisha, niweombe tu wenyeji mnitajie watu...
  2. SUTE

    Mimba ya kwanza miezi kumi

    Wasalaam, Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa, Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo...
  3. SUTE

    Unatakiwa uoe wanawake wawili

    Siku moja niko na binti mmoja gethoni, kama kawaida mambo mengine nilikuwa nasimuliwa tu kumbe ni kweli, nami nilikuwa na njaa balaa, mara anikandamize kifua, mara apige yowe dah, mara aniite baba, n.k. n.k Sasa basi katika mazungumzo ya hapa na pale ule muda wa offtime akaniambia unatakiwa uoe...
  4. SUTE

    Marekebisho:

    Baadhi ya misemo inahitaji marekebisho kama vile, "Maji ukiyavulia nguo" #Ukiyaona hayatoshi unavaa unayaongeza kwanza. # Ukiingia muamala ghafla, unavaa unaenda kuu-download kwanza. Ongeza misemo inayohitaji marekebisho tui-edit!
  5. SUTE

    Kupima ni bora, usijidhuru kwa msongo wa mawazo!

    Mwaka jana nilikuwa na rafiki yangu, katika mazungumzo tukakubaliana tutafute kazi ya kufanya ili kukabiliana na "mtaisoma namba" (maisha) tukapata kazi ya kutumia nguvu nyingi kama hujashiba vizuri huwezi, sasa kilichonileta hapa ni kwamba baada ya siku mbili hivi nilipatwa na vitu ambavyo...
Back
Top Bottom