Search results

  1. SUTE

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Ukimwamini Yesu, ukahudhuria mafundisho bila kukosa, ukafanya maombi na sara mara kwa mara, kiu ya kufanya mabaya inapungua na unaweza kuuamlisha mwili wako ulimi, na fikira zako hata kama kuna vishawishi.
  2. SUTE

    Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Afadhali ya huyo, kuna mwingine muda wote anaongea matusi tu. Utasikia, ''anaitumbukiza kuuubwa, anamwaga maji mengi'', na matusi mengine mengi. Hii sio, wengine tunatazama tukiwa na familia, tunahitaji maneno yasiyo na ukakasi
  3. SUTE

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Ni njia gani ya kufahamu mita niliyofungiwa imewahi kutumika kabla huku mimi mteja nikiamini ni mpya
  4. SUTE

    Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

    Bila shaka ni yule shemeji yako aliyekuwa anakushirikisha hadi siri zake za ndani au ni single mother
  5. SUTE

    Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

    Hivi wewe ndiye Mzizi Mkavu wa jiefu au naye ni mwingine
  6. SUTE

    Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Sawa, namaanisha ukianzisha uchokozi uwe na uhakika unayemchokoza unaweza kumdhibiti pindi akianza kujihami pasipo kutegemea nguzo za mtu mwingine Mfano: Urusi kwa Ukraine
  7. SUTE

    Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Kumbuka maswali ya mwanzo yalikuwa kwa nini wameshindwa kuingiza jeshi GAZA? Kwa hiyo kuhusu hayo mashimo tuwape muda
  8. SUTE

    UN: Tanzania imepiga kura ya kuunga mkono Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina

    Na watatandikwa ''KweeriKweri" Voice of [emoji2089]zake
  9. SUTE

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    [emoji4][emoji4][emoji2960][emoji2960]
  10. SUTE

    Wanaume mnaozama chumvini ujasiri huo mnautoa wapi?

    Teh[emoji1787]tehh[emoji1787] teh Kwamba goroli ngumu kama kokoto[emoji4]Hizo ndizo zenye afya
  11. SUTE

    Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

    Hiyo ni pamoja na habari za hamas kwenye ubongo, japo kuna fumbo kuhusu yajayo hapo kwenu
  12. SUTE

    Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

    [emoji848][emoji848]
  13. SUTE

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Umekuwa ndumilakuwili siku hizi, au basi fita ni fita muraa
  14. SUTE

    Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Mkumbushe na kule Geita kisa kuchinja mifugo, vurugu zilitokea mpaka kuuana. Yaani mfano nimepata mgeni, mgeni ni wangu,mbuzi nimenunua kwa pesa yangu, halafu wakati wa kumchinja nimtafute mvaa kobasi anichinjie, Hivi wavaa vipedo mpo serious kweli?
  15. SUTE

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom