Search results

  1. masoud mshahara

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Wewe utajiri unauchukuliaje?
  2. masoud mshahara

    Namsubiri Diamond Platinumz kwenda Clouds 360 au Kuzungumzia hali ya Ruge Wasafi TV

    Jamani ebu wacheni kukuza mambo kwani huyo Ruge ndio wa kwanza kuumwa? kama Diamond ataona yafaa atazungumza kama aifai ata achana nayo lakini sio kwa kelele zenu
  3. masoud mshahara

    Tukutane jmosi kwa mkandarasi

    Wewe ni jeuri Sanaaaa
  4. masoud mshahara

    George Jonas: Muhandisi maarufu wa Tanzania anayefanya kazi na kampuni ya Boeing ashinda tuzo Marekani

    Kwa mchina mwarabu anataka kurusha ngumi kasahau 5 kabisaaaaaaa ahahahhahahaah
  5. masoud mshahara

    Nandy kwa sasa yuko kwenye mahusiano na Gavana wa Mombasa?

    Ukisha wauliza Omy dimpoz na Ali kiba tunaomba ulete jibu humu
  6. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Ujatoa mfano wowote wala elimu yeyote ,zaidi ya kuruka ruka kama maharage, ebu tuambie 945 toka lini ikawa sawa na 845? tupime hiyo elimu yako mpya
  7. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Sisi hatuna tatizo na kuamini sisi tunaamini taurati, zaburi na Injili, wala hakuna tabu , wewe umedai waandishi wa biblia wameongozwa na roho mtakatifu sasa unapotakiwa kuthibitisha yupi asa kweli alitaja idadi kamili ile aliyoiona roho mtakatifu yaani 945 au 845 unaanza kuangaika na vitu...
  8. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Sawa ndugu yangu mda mwengine tunamuonyesha huyu bwana mdogo tunaweza kupiga miguu yote ikibidi
  9. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Allah ndio alimiambia kuwa 945=845? ahahahaahhhahhaha uongo wa waandishi wenu na janja janja yao unamsingizia Allah ahahahaah
  10. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    945=845? hizi HESABU umesoma wapi ?ahahahaahhhahhaha ahahahahaahahahha
  11. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Mungu ameshasema " wamekufuru waliosema masihi mwana wa maryamu ni Mungu" ndio maana unastaajabisha kweli kweli kuja hapa na kusema Mungu kapigwa Makofi na kutemewa mate, ata huyo Yesu ambaye alikua akila na kunya kama wewe Allah amepinga jambo hilo kuwa akufanyiwa la kufanywa kama mdoli...
  12. masoud mshahara

    Is Diamond overrated Jux is talented too

    Wakati wa kutoka ndio unaitaji sana hivyo vitu, ukishatoka ukaendelea kutegemea sana hivyo vitu wewe unakuwa punguani
  13. masoud mshahara

    Is Diamond overrated Jux is talented too

    Nirekebishe mkuu lugha hii bado najifunza ebu nipe shule mkuu
  14. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoa
  15. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Wewe ndio miongoni mwa walio dhulumu , au ujijui kuna dhuluma gani kama kumfanya Mungu dhariri wakupigwa Makofi na kutemewa mate na wahuni? mnataka muambiwe kwa lugha gani ili muelewe kuwa Mungu wa kweli haitaji huu upuuzi wa kufanywa takataka na viumbe wake mwenyewe ili kuwaokoa viumbe hao hao...
  16. masoud mshahara

    Zinaa katika uislamu....

    Nimesoma Quran wala sijayaona ebu thibitisha pia wapi Mwingira alikula mke wa mtu?
Back
Top Bottom